Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Mkuu huwezi amini leo kanikamata mimi nilijua kuna bomu atalilipua usiku huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumbavu kabisa huyu demu, anakusumbua mpaka wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwezi amini leo kanikamata mimi nilijua kuna bomu atalilipua usiku huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumbavu kabisa huyu demu, anakusumbua mpaka wewe
mkuu Avatar hiyo vepe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumbavu kabisa huyu demu, anakusumbua mpaka wewe
Nitatoa sasa Saa 8 Kamili usiku hivyo endeleeni kuwa macho.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13], KonyoLamer yo madre coño..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
Usicho amini kipi mkuu, ujumbe ulio kwenye picha au sura ya mtu?mkuu Avatar hiyo vepe?
Itapendeza ukipigwa BAN la muda wote ( A life time JF BAN) utokomee kabisa.
Moderator lifanyieni kazi pendekezo langu. Apigwe BAN huyu jamaa ili iwe fundisho Kwa wajinga wengine watakaoleta uzi wa kipuuzi kama huu hapa JF.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ujumbe mkuu iyo sura ni kielezo cha mpauko kama wa mtoa mada ,katuweka siku nzima huku anaongeza muda kama mnada wa Yono.Usicho amini kipi mkuu, ujumbe ulio kwenye picha au sura ya mtu?
huyu nge-dele apigwe ban
Narudia tena kusema Kumekucha je niseme nisiseme? Nasubiri ruhusa yenu tafadhali.
Nawakilisha.
Umeelewa nini mkuu kutokana na uhusiano uliopo kati ya 'ujumbe' huo na 'mwenye thread yake'[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ujumbe mkuu iyo sura ni kielezo cha mpauko kama wa mtoa mada ,katuweka siku nzima huku anaongeza muda kama mnada wa Yono.