Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fils de pute[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]Like your Mum.
acha mbwembwee,achia info
Tunasubiri break news
Unatupa adhabu auNi Breaking News Mkuu na siyo Break News. Nashukuru tu kwamba wenyewe Waingereza wenye lugha yao hawapo humu JF ila wangekuwepo kidogo wangetushangaa. Vuta subira tafadhali, kaoge kabisa na ujiandae ikifika Saa 6 Kamili usiku dakika 39 au 38 kutoka sasa naweka ' Kitu ' hadharani ila nataka kila Member amuamshe mwenzake na kama nikiona nyote hamjaamka siweki na nabaki nacho mwenyewe. Amshaneni haraka mkae mkao wa kula. Leo ni leo Mkuu!
Mpaka saa sita siyo poa
Fils de pute[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
Unatupa adhabu au
Huu ni uhuni,weka sasa hv tu kesho makazini ujue!Haya sasa wote mpo tayari Mwanamume nifunguke sasa hivi? Naomba kila Member wa JF popote alipo sasa kama anaijua ID ya Rafiki yake au Mtu yoyote amuamshe haraka kwani nataka nikikiandika hapa hicho kitu kila mmoja akipate usiku huu huu. Ni kitu ambacho Kitatikisa na yawezekana hata wana Mtandao wa JF nanyi mkashangaa na kushindwa kuamini macho na masikio yenu. Amshaneni upesi na hakikisheni wote mkiwa tayari mnaniambia. Nawapeni dakika 45 tu kutoka sasa nyote muwe mmeamka na ikifika Saa 6 Kamili usiku huu naweka mambo hadharani.
PoaKizuri hakiji bila kukisotea na ndiyo maana hata Waingereza wanasema no pain no gain Mkuu. Halafu kama labda unaona adhabu si vibaya ukaachana nayo tu na ukaendelea na ratiba zako na maisha yako kwani sijamlazimisha Mtu anisubirie. Tena mkinitibua ndiyo naweza nisiseme kabisa. Mtu mwenyewe Mimi dakika mbili mbele. Yaani ni bora tu muwe wapole kuliko kunishinikiza mtakavyo nyie.
Hakuna jipya kwako,habari za siasa huwa ni muongo 100%....Labda huwa nakuelewa kwenye kuchambua matukio ambayo yameshatokea na kila mtu kaona ,apo ndio nakukubali.
Na kutia chumvi ya uvinza katika maelezo yako mengi.
Zaidi ya hapo hauna jipya la kutuambia tena kwa hiyo exclusive yako .....Nina imani utatuingiza chaka 100%
Mkuu, ujue tunaheshimiana. Na kama umetibuana na huyo member Kibudu sisi haituhusu.Sasa kama kumbe unayajua haya yote kwanini tokea Saa 7 mchana nilipouanzisha huu uzi kila mara ulikuwa unaukodolea kuona kama nimeshaweka ' Kitu ' hadharani? Kwahiyo tuseme kwamba na Wewe ulijitoa mhanga kuteseka na kuusubiria huu uzi kwa muda wote huo hadi hivi unaona umechoka kusubiri ndiyo umeamua kuhara na kutapika hivi?
Sasa ndiyo umeshanitibua na umewaponza Members wote waliokuwa wamejiandaa kusubiri hiyo taarifa yangu na nimeghairi siiweki na badala yake nakuomba Wewe sasa wawekee taarifa yako ambayo unaijua au unayo ili uwaridhishe. Jamani Members wa JF nimeghairi kuweka nilichokidhamiria na nawaombeni lawama zenu zote mpeni au zipelekeni kwa Member Kibundi wa getto kwani amenitibua.
Mkitaka niweke hicho ' Kitu ' hadharani mwambieni atengue Kauli yake na yote aliyoyaandika hapo juu na aniombe radhi ili hiyo Saa 6 Kamili ikifika kama nilivyoahidi niwawekeeni hiyo taarifa na kama asipoomba radhi atakuwa kawaponza nyote na sitowapeni hii taarifa ambayo nawaambieni ni nyeti na muhimu mno ambayo siyo ya kuikosa.
Haya mambo ya kuzira yanafanywa na watoto wadogo aiseeeee.......Usiku mwema.
Lamer yo madre coño..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]Maloka Purkeria.
Mkuu, ujue tunaheshimiana. Na kama umetibuana na huyo member Kibudu sisi haituhusu.
Nahesabu dakika zilizobaki 14 tu hapa