KUMEKUCHA: Kamati ya Miss Tanzania kuburutwa Kortini

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Kamati ya Waandaaji shindano la Miss Tanzania sasa kufikishwa Mahakamani baada ya Wanasheria wa TSNP kuapa kuwa watawasaidi walimbwende walioshika nafasi ya 2,3 na 4 wa mwaka 2016 kulipwa pesa walizoahidiwa.


Hivi majuzi Serikali ilishinikiza kamati hiyo kumpa zawadi mshindi wa Miss Tanzania ndipo Wanakamati walipojitutumua na kukabidhi gari ambayo sitaki kuingolea kwa kuwa kila Mtanzania aliishuhudia.


Kama vp haya mashindao yateketezwe tu, sioni tija yake.........
 
Miss Tanzania anaingiziaje Taifa kipato ??

Kama haingizi hta mia bhas hana tija kuwepo
 
Kazi ya Bob na kikosi kazi chake...
Big up Bob!
 
ha hahah ila hii tasnia inabidi wachukue wau serious
 
Mabinti wameliwa utamu na zawadi wajapata. Maisha yalivyo bana lazima ukadai ahadi uliyopewa.
 
Hivi hua wanatumia vigezo gani kumpata mlimbwende wa nchi hii?? maana huyu current miss tz ni vioja kabisa
 
Tangu Lundenga agombane na yule muwekezaji mweza, mambo yake yamemuendea kombo kweli kweli. Akamuombe msamaha ili warudi kupiga kazi pamoja...
 
Watanzania sijui hata tunaweza nini.
 
Ila huyu msichana hakustahili hata kuwemo kwenye Top 20....Ile kushinda miss Tanzania tu Kwake ilikuwa zawadi tosha na ilimbidi ashukuru
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa! Siku hizi hakuna mapedejeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzz. Wafadhili wa nyuma ya pazia kupata vitu vikali 6x6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…