Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Kamati ya Waandaaji shindano la Miss Tanzania sasa kufikishwa Mahakamani baada ya Wanasheria wa TSNP kuapa kuwa watawasaidi walimbwende walioshika nafasi ya 2,3 na 4 wa mwaka 2016 kulipwa pesa walizoahidiwa.
Hivi majuzi Serikali ilishinikiza kamati hiyo kumpa zawadi mshindi wa Miss Tanzania ndipo Wanakamati walipojitutumua na kukabidhi gari ambayo sitaki kuingolea kwa kuwa kila Mtanzania aliishuhudia.
Kama vp haya mashindao yateketezwe tu, sioni tija yake.........