KUMEKUCHA: Kamati ya Miss Tanzania kuburutwa Kortini

Wameshapewa exposure iliobaki wafuate nyayo za kina wema, giggymsando, kama mamiss wengine wàjiongeze tuu hakuna namna maisha yashakaba
 
Miss Tanzania iliishia mwaka 2006,baada ya hapo ni vihoja tu.

Sitaki kukumbuka gari alilopewa Diana [emoji23][emoji23][emoji23]
Diana nae amejiweka cheap sana yaani hiyo gari imemfanana utafikiri alipewa kwao..
 
Hawa waandaaji wamechoka basi tu ni ving'ang'anizi, wangeachia wengine wao wale faida, kamaipo. Hawa mabinti nao hawajitambui wenzao wanalilia zawadi wametapeliwa huko vyuoni mashindano yameana na washiriki wengi tu sijui wanaona raha kujipitisha jukwaani au ni njia ya kutokea yaani wanaonekana wanaume?!
 
Miss Tanzania iliishia mwaka 2006,baada ya hapo ni vihoja tu.

Sitaki kukumbuka gari alilopewa Diana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…