Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Wameshapewa exposure iliobaki wafuate nyayo za kina wema, giggymsando, kama mamiss wengine wàjiongeze tuu hakuna namna maisha yashakaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diana nae amejiweka cheap sana yaani hiyo gari imemfanana utafikiri alipewa kwao..Miss Tanzania iliishia mwaka 2006,baada ya hapo ni vihoja tu.
Sitaki kukumbuka gari alilopewa Diana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miss Tanzania iliishia mwaka 2006,baada ya hapo ni vihoja tu.
Sitaki kukumbuka gari alilopewa Diana [emoji23][emoji23][emoji23]
watafutwe waandaaji wenye malengo mazuri sio wenye maslahi binafsi
Aisee hiyo ndo yenyewe, hata mie natamani hiyo ije.bora walete MISS BANTU tuu maana ile hata sheikh kipozeo anaikubali