Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Kwenye Afcon hakuna mwamuzi toka Tanzania bara wala Zanzibar
 
Inaleta aibu .... mfano Kwa lile la APR tayar limetuchafua
 
Inabebeka pia, maana kuna team ilibebwa kwa kuongeza dakika 9 lakini bado haikupata matokeo! Hiyo haibebeki unaweza ibeba mpaka Mbeleko ikachakaa
Ndo hivyo mkuu....Simba siwagile I nyali[emoji23]
 
UNa mambo ya kingese kweli
 
Sawa, wamerekebishe pia matokeo.
 
Hizo kamati za jecha Nani azihamini, mpaka leo hawajamwongelea maamuzi wa mechi ya mlandege na apr halafu wanatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Simba .
Tukio la kubebwa Simba limeleta msisimko mkubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…