Kumekucha Kenya - Balala revokes 31 mining lincenses

Kumekucha Kenya - Balala revokes 31 mining lincenses

Tanzania watakuambia wanaogopa kupeleka mahakamani, so ni bora waibe tu, kuliko kushitakiwa, yaani ni vituko vya bibi Tarabushi
 
tukibadilisha sheria za madini nchi itayumba-pinda
 
Ni kweli kabisa Mkuu, lakini kwetu Tanzania hawa mafisadi wameshatiwa mifukoni mwa haya makampuni ya uchimbaji madini kwa kuwekewa $$$ chungu nzima katika bank accounts zao nchi za nje (mabilioni ya uswiss) wanaogopa wakifanya hivi Wazungu watawaanika hadharani na hivyo kutufahamisha rasmi Watanzania jinsi walivyohongwa ili kusaini mikataba ambayo haina maslahi kwa Watanzania.


Waziri wa madini Kenya amefutilia mbali leseni leseni za uchimbaji madini 31 zilitolewa nusu ya mwaka huu nchini Kenya.
Hatua kama hii inatakiwa sana nchini Tanzania ili nchi iweze kunuifaika kimapato. Angalia link hii:

Balala revokes 31 mining lincenses - Politics - nation.co.ke
 
Tanzania katika mfumo uliopo; viongozi wote either embbedded au comporomised kama tunavyowajua hawana political will wala moral authority kuchukua hatua kama hiyo. tuendelee kupambana mpaka tuufurumushie mbali mfumo huu ovu wa chama dola!
 
Hawa jamaa wako serious sio kama hawa majizi ya hapa kwetu.
 
The Kenyan government has revoked all prospecting and mining licences granted during the first five months of this year after complaints about the issuing process.

The country's commissioner of mines, Moses Masibo, has been suspended.The Government has also raised royalties on minerals mined within its borders.

Kenya has proven deposits of titanium, gold and coal.

New deposits of minerals such as titanium, copper and niobium have recently been discovered that are thought to be worth billions of dollars.

Mining minister Najib Balala told a news conference the licences in question had been issued in a hurry and without transparency.

"We want to ensure the country gains from the mineral potential," he said.

"Any licence issued between 14 January and 15 May is hereby revoked immediately as we review each case to determine their nature and benefit to the country."

'Shrouded in secrecy'
Earlier this year, the mining secretary promised to review laws regulating the sector, which currently includes more than 300 local and foreign firms either searching for minerals or in small scale production.

BBC World Service's Africa editor, Richard Hamilton, said traditionally Kenya had not had a large mining sector.

But recent discoveries have encouraged a rush by local and international speculators.

Standard Digital News - Kenya : Kenyan government revokes mining licences
 
TheKenyan government has revoked all prospecting and mining licenses grantedduring the first five months of this year after complaints about the issuingprocess.

The country's commissioner of mines, Moses Masibo, has beensuspended.
TheEast African country has also raised royalties on minerals mined within itsborders.
Kenyahas proven de​posits of titanium, gold and coal.Newdeposits of minerals such as titanium, copper and niobium have recently beendiscovered that are thought to be worth billions of dollars.

Miningminister Najib Balala told a news conference the licenses in question had beenissued in a hurry and without transparency."Wewant to ensure the country gains from the mineral potential," he said."Anylicense issued between 14 January and 15 May is hereby revoked immediately aswe review each case to determine their nature and benefit to the country."

1. Hivi kwetu lazima tusubiri katiba mpya ili kuangalia upyamaslahi tunayopata kama nchi kwa mikataba mibovu iliyoingiwa na viongozi wetu?
2. Uvumbuzi wa gesi umeleta maafa na tafrani badala ya kuleta uahueni, wananchi sidhani kama ni wazito kiasi cha kutokuelewa manufaa ya hiyo gesi, kinachoniuma badala ya serikali kufafanua/ kujadili hoja za wananchi inatumia nguvu nyingi kushinikiza utekelezaji kitu kinachoacha maswali mengi sana juu ya huu mradi na mkataba wenyewe kwa ujumla, kwamba ni kwa manufaa ya nani?
3. Nini kifanyike kuondoa usiri mzito unaogubika mikataba yetu?


Tuna mambo ya kujifunza hapa, hasa kama tunataka kunufaika na rasilimali tulizonazo.


Habari kamili bonyeza hapa
Source BBC
 
Huku wana MADENI mengi ajabu walichokifanyia hizo fedha za mikopo wanajua wenyewe na matumaini ya kulipa hayo madeni hayapo kabisa kwahiyo jamaa (Wazungu wanaotudai) wanatwaa migodi kwa in return kulipa kiduchu Serikalini.Nahisi ndio wanajilipa Madeni ni kiaina hivyo kwa kujitwalia Migodi yetu na Rasilimali nyinginezo.
 
Back
Top Bottom