kikurunge
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 669
- 661
Mbona ni sawa na uharamia anaofanya baba jesca katika nchi ya kusadikika?Alianza vizuri, tena sana, amebadilika ghafla kumbe alikuwa haramia amejificha. Kutengua urais, basi dikiteita mkubwa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni sawa na uharamia anaofanya baba jesca katika nchi ya kusadikika?Alianza vizuri, tena sana, amebadilika ghafla kumbe alikuwa haramia amejificha. Kutengua urais, basi dikiteita mkubwa tu!
Exactly, mijitu kama hii haifi katu!Mbona ni sawa na uharamia anaofanya baba jesca katika nchi ya kusadikika?
Hawa wataingia kwenye civil war! Kumbe Uhuru alikuwa muuaji, ICC haikufanya kazi yake vizuri.
Haya majitu ni mauaji! Wakenya wawaangalie kwa macho ya ziada. Hayafai kumbe! Na majitu kama haya hayafi aslaniUhuru na Ruto waliua mashahidi muhimu wote.
Unataka uzisikie wapi?Sisikii comment za Chadema