Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
- Thread starter
- #21
Kipondo kimepamba moto...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanyiwa Nini Mbona unajitekenya mwenyewe.Hao RDF ndio hao wanaowavizia wanajeshi wa SADC?Mpaka leo sijawahi fahamu hao SADC troops wamekwenda kufanya nini huko DRC.
Natamani warudi maana naona aibu kwa kile wanachofanyiwa na RDF
Hao m23 wanaonyanyasa SADC na FARDC ni RDF.Wamefanyiwa Nini Mbona unajitekenya mwenyewe.Hao RDF ndio hao wanaowavizia wanajeshi wa SADC?
Huna akili sawasawa.Hao m23 wanaonyanyasa SADC na FARDC ni RDF.
We huoni hata aibu. Kanchi kadogo kama wilaya ya kigamboni lakini kanahenyesha majeshi ya mchi karibu 16 ya ukanda wote wa kusini mwa Africa.
SADC waondoke tu huko tusiendelee kupata aibu.
Mfano mdogo tu hao SANDF eti taifa lenye nguvu Afrika ndio kila siku wanachapwa na M23 ila htujawahi kusikia wao wameua japo panya huko porini
Sina akili ki vipi mkuu wangu?Huna akili sawasawa.