Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia

Ila Rangi za CHADEMA zinapendeza Sana Jamani
Rangi nyekundu kwenye bendera umwagaji damu alama ya vidole viwili ya Freemasons.Angalia kompasi mbili Moja upande wa kushoto na kulia kwa picha ya Msigwa .Compass iliyoinamia chini ni utambulisho wa Freemason.

Msigwa haoni hata aibu kujitambulisha wazi kuwa yeye freemason
Siku hiyo ya kukaa chonjo freemason Wana mambo yao
 
Msigwa kwa iringa hana chake

Vijana wote waliomsaidia kurudi bungeni wamerejea ccm

Iringa inarudi ccm
 
Rangi nyekundu kwenye bendera umwagaji damu alama ya vidole viwili ya Freemasons.Angalia kompasi mbili Moja upande wa kushoto na kulia kwa picha ya Msigwa .Compass iliyoinamia chini ni utambulisho wa Freemason.

Msigwa haoni hata aibu kujitambulisha wazi kuwa yeye freemason
Siku hiyo ya kukaa chonjo freemason Wana mambo yao
uongo utakusaidia nini ?
 
Basi freemason wamechagua Rangi bomba sana
 
Msigwa haguswi na jiwe ,CCM mnajisumbua hata kasha kasha za upinzani hapati namwonea uruma DC wa Iringa kwani huku juu wanamsanifu upinzani Iringa mjini chini ya Msigwa hauguswi kwani MTOTO WA DADA YAKE Mbunge KAOLEWA NA MTOTO WETU.Msijisumbue kwa msigwa
 
Msigwa ameanza siasa wakati huo Magufuli anabebwa na Akina Kitwanga , hategemei huruma ya mtu
 
Back
Top Bottom