Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Inaonekana Wewe ni mdau mzuri wa hayo uliyoandika,manake wanasema huwezi kuimba wimbo usio ujua.Rangi nyekundu kwenye bendera umwagaji damu alama ya vidole viwili ya Freemasons.Angalia kompasi mbili Moja upande wa kushoto na kulia kwa picha ya Msigwa .Compass iliyoinamia chini ni utambulisho wa Freemason.
Msigwa haoni hata aibu kujitambulisha wazi kuwa yeye freemason
Siku hiyo ya kukaa chonjo freemason Wana mambo yao
Unashangaa nini?Mbona Siku za nyuma tuliwahi ona CCM wametuma salamu za rambi rambi maandishi yakionyesha kuwa taarifa iliandikwa kabla hata ya mhusika hajafariki.Hayo ni Makosa tu kiuandishi.Ufafanuzi wake hauhitaji hata darasa la chekechea.Hahahaaaaaa...... hahahaaaaaa...... Hawa Chadema ni wasanii sana ila wasahaulifu MNO!
Printa za CHADEMA Bwana yaani mchapaji katypu vingine printa ikapurinti vingine hatareee!ni makosa madogo tu ya printer
Jiwe akiamua kumshughulikia anaweza ,umesikia hata na kesi za kijinga kijinga?CCM wakae mbaliMsigwa ameanza siasa wakati huo Magufuli anabebwa na Akina Kitwanga , hategemei huruma ya mtu
Kwanini unataka kunipangia cha Ku comment?Unajitia aibu kwa faida ya nani ?
πππKwanini unataka kunipangia cha Ku comment?
Unanilipia GB
Baada ya uzi huu uliofichua viongozi wa ccm waliojiandaa kukimbia , Ikabidi Hapi aagize Polisi wazuie Mkutano .Maskini chama cha vikongwe kinapotezwa hivi hivi