Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Ayo ni mawazo ya kitoto kwa fanbase na ukubwa wa simba ni Tajiri gani asiyeitaka..
Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.Wanahela hata ya kufikisha timu mtwara au wanalishwa matango pori na kingwangwala? Mtamkumbuka Sana babra, mlimpiga vita kuwa anathibiti fedha za kuwapa " wazee wa timu" na wavivu wengine wanaotegemea timu kuishi mjini
Tatizo mnacheza wimbo wanaoimba utopolo. Kumbuka kabla ya Mo timu ilikuwa hata huko kufa kiume hakupatikaniKwenye hii dunia amna timu iliyopewa kombe la kufa kiume..tunataka usajili wa kueleweka siyo blah blah
Hawa mashabiki walugaluga wamevamia soka letuUna jezi ngapi za Simba?
Umeingia mechi ngapi Simba uwanjani msimu huu?
Tunataka kukagua fanbase contrubution
Bajeti gani? Nani wa kutoa ayo matumizi ya 13b uyu uyu chakorii kanji ndio atoe izo hela[emoji16][emoji16]Simba ina wachezaji hewa wengi ambao ni nzige kwenye timu.
Waondoe wale wote wanaolipwa pesa nyingi, wajipange upya.
Haiwezekani bajeti iwe 13bl afu kuvurunda tu
Mashabiki mbalimbali wameanza kumtupia lawama muwekezaji MO dewji kuwa yeye ndie anawarudisha nyuma na wala siyo wachezaji wa benchi la ufundi..
View attachment 2615352
Mwambie uyo eti anadai timu inapata hasara cha ajabu kajaza mitangazo yake kibao kwenye jezi yani simba imekuwa kama timu za brazil jezi yote matangazo alafu anakuja kusema kuwa anapata hasara..Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.
Kanji bai atuachie timu yetu..tukiongea ukweli utasikia eti hoo mnajua chama analipwa bei gani ayo ni mawazo ya kitoto ivi kwa stage aliyofikia simba kuna tajiri gani apa africa ambae atotaka kuwekeza simba.Mashabiki hao = Wauza magazeti buza
Katukopesha pesa nyingi sana zaidi ya bilioni 35Aondoke 20B plus riba zake nani atazilipa?
Wakutoa iyo hela nani 35B yani faida aliyoipata kanji kupitia simba ni mara 100 zaidi ya simba waliyoipata kupitia uyu kanjanja..Katukopesha pesa nyingi sana zaidi ya bilioni 35
Ndiyo zile bonasi zenu, au kuna vingine mna mdai?Tunamdai Mo
Acha upumbavu kwani Mo ni mmiliki wa Simba ?Acha nadharia za ajabu watu wanaposema ukweli, kwahiyo huyo Mo anatoa pesa Simba Kama msaada?. Watu wqnachangia mapato ya timu kupitia bidha za simba, kadi za timu na michango mingine kwahiyo Mo hatoi hisani Simba anafanya biashara inayomlipa sema ni tapeli.... Wachezaji wanabeneshwa visado vya sabuni Mara kutangaza biashara za Mo yote hiyo ni biashara zake.
Hivi haya yanaonekana timu inapofungwa pekee??Mashabiki mbalimbali wameanza kumtupia lawama muwekezaji MO dewji kuwa yeye ndie anawarudisha nyuma na wala siyo wachezaji wa benchi la ufundi..
View attachment 2615352
Simba ikiwekwa sokoni itanunuliwa Tena fasta tu. Tuache kutishana!Hivi ninyi Washabiki wa Simba Mo akiondoka si tunarudi kule kwa kwa Kaduguda kununualia wachezaji Chapati huku Yanga wanatesa na Manji wao.
Ngoja siku akitoka mtamkumbuka sana, hata yeye anatamani kuondoka timu uswahili mwingi na kuendekeza makundi na kutaka upigaji.
mala, mala, mala mala malaKwanini asijitoe tu timu imemshinda?
Mala atoke kimya kimya.
Mala aingie.
Mala AENDE kwenye NGUMI.
HUYU HUWA ANARUDI TIMU IKIWA NA FEDHA TUNAOMBA ATUPISHE.
Kwani Kuna anayekataa Hilo?Wanapiga tu kelele hakuna wanachoelewa, ngoja siku akiondoka wataelewa. Huwezi kutenganisha mafanikio ya Simba kimataifa na MO
Dundukwa hili vipi tena.Acha upumbavu kwani Mo ni mmiliki wa Simba ?
Hivi mnavyo mlaumu Mo kwa kila kitu ndani ya simba hao wanachama wanao miliki Asilimia 51 ya hisa za klubu wana kazi gani?
Mo ni mwana hisa ndani ya Simba anaye miliki hisa asilimia 49 hivyo sheria ina mtaka kuchangia asilimia ya pesa kulingana na hisa anazo miliki kwa ajili ya klub, na wana chama wanatakiwa kutoa asilimia 51 na moja ya pesa kwa ajili ya kuendesha klabu.