Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

Dundukwa hili vipi tena.
Acha ushoga maana una athiri mpaka ubongo kichwani ,tabia ya kuongelea mambo usiyo kuwa na elimu nayo niupumbavu iliyo kithiri.
 
Kwa brand ya simba ilivyo akiondoka MO tutafika mbali sana ivi ni Tajiri gani asiyeitaka simba apa Tanzania na Africa kwa ujumla timu yenye fanbase kubwa apa Africa mashariki..asepe tu uyo kanji.
Hizo ni porojo za vijiwe vya kahawa.Matajiri wako wengi ila sio wote wanaweza kuvimilia uswahili tulionao bongo.Mo mwenyewe yanamshinda nani mwingine atatuweza.Kuendesha timu ya mpira ikapata mafanikio kwenye hizi nchi zetu sio kitu rahisi.Waulize yanga walikaa miaka mingapi hadi kumpata Gsm baada ya manji kuondoka.
 
Wanahela hata ya kufikisha timu mtwara au wanalishwa matango pori na kingwangwala? Mtamkumbuka Sana babra, mlimpiga vita kuwa anathibiti fedha za kuwapa " wazee wa timu" na wavivu wengine wanaotegemea timu kuishi mjini
Ni wakati wa kumkabidhi timu mzalendo Kugwangala, ni mtanzania mwenzetu asiye na chembe ya kuchanga asili nje ya Afrika
 
Yeye mwenyewe amesema anadaiwa, kwahiyo hata sisi tunamdai zile bil.20!

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa brand ya simba ilivyo akiondoka MO tutafika mbali sana ivi ni Tajiri gani asiyeitaka simba apa Tanzania na Africa kwa ujumla timu yenye fanbase kubwa apa Africa mashariki..asepe tu uyo kanji.
Inshu sio brand kubwa tu,muwekezaji yoyote mwenye akili lazima awe na uhakika na pesa zake anazoweka!!leo mnafungwa mnataka awapishe je pesa zake alizowekeza?hiyo 51% yenu mashabiki mmseshatoa bei gani?!!kwa hili serikali ndio wa kulaumiwa na wao ndio wamekwamisha mchakato Hisa zingekuwa huru kama muwekezaji anaweza achukue 100% zote iwe mali yake.Siku zote timu za wanachama ni shidaaa!!Hata yanga nako ni hivyo hivyo tu
.Leo akiwaachia kuna nini mtafanya,hiyo kadi ya uachama tu kwa mwaka mzima ni shidaa.
 
Kanji bai atuachie timu yetu..tukiongea ukweli utasikia eti hoo mnajua chama analipwa bei gani ayo ni mawazo ya kitoto ivi kwa stage aliyofikia simba kuna tajiri gani apa africa ambae atotaka kuwekeza simba.
Mwambieni serikali MBadirishe mfumo!!timu za wanachama tajiri mwenye kujielewa hawezi tia pesa yake humo!!Hata huko Yanga tatizo ni lile lile tu,sema kwakuwa wanafanya vizuri pametulia.
 
Hamna washabiki wa Simba hapo bro, ni utopolo hao. Linchi limejaa watu wana fitna kupita maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…