Kumekucha mvua imekuwa kisingizio cha Yanga kufungwa

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
"...Mvua imetuchanganya...Mvua tukienda Halftime na yenyewe inaenda Halftime, Timu zikirudi kutoka vyumbani Mvua na yenyewe inatua...

Yanga tukishambulia Mvua inakua kubwa...Wakishambulia Waarabu Mvua inakata.. Sasa hapo unajiuliza ni Mvua ya Nani?

Hii Mvua na kama ile Mechi ya Simba tu,,,Ile mechi tuliyofungwa na Simba...Hii Mvua ya Simba"

[emoji361]Akilimali Makame

Shabiki wa Yanga Sc.
 
Huko Algeria watakutana na baridi ya Simba πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Au nasema uongo jamani Bantu Lady Shadeeya Kalpana
 
Huko Algeria watakutana na baridi ya Simba πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

Au nasema uongo jamani Bantu Lady Shadeeya Kalpana
Uzuri ni huu wana Jangwani tumerelax, madunduka FC mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa.
Kuna Popoma wenu kila dakika anatuanzishia uzi.
Sisi tumetulia tuli, iwe meza au jamvi tutapindua...

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#daimambelenyumamwiko#
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…