Kumekucha: Mwanasayansi agundua ilipo Damu ya Yesu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Ron Wyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa.

Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye mwamba, na kusababisha Damu kutiririka hadi kwenye chumba cha siri kinachoshikilia Sanduku la Agano.

Majaribio ya kimaabara aliyoyafanye yameonyesha kwamba damu hiyo ina kromosomu 24 pekee—23 kutoka kwa mama na moja pekee ya Y, jambo linalodaiwa kuthibitisha kuzaliwa kwa bikira. Cha kushangaza zaidi, damu hiyo ilipowekwa kwenye maji ilionyesha dalili za uhai, jambo ambalo damu yoyote ya kale haijawahi kufanya.

Maoni yangu: Bado tunaendelea kuonekana wajinga sana na ndiyo Maana Kila Kukicha wanaendelea Kuleta uongo uliotukuka
 
Maoni yako, yanaelezea upande wako, laah ingekuwa ushamwaga nderemo na vifijo hapa.
 
Ron Wyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa.

Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye mwamba, na kusababisha Damu kutiririka hadi kwenye chumba cha siri kinachoshikilia Sanduku la Agano.

Majaribio ya kimaabara aliyoyafanye yameonyesha kwamba damu hiyo ina kromosomu 24 pekee—23 kutoka kwa mama na moja pekee ya Y, jambo linalodaiwa kuthibitisha kuzaliwa kwa bikira. Cha kushangaza zaidi, damu hiyo ilipowekwa kwenye maji ilionyesha dalili za uhai, jambo ambalo damu yoyote ya kale haijawahi kufanya.

Maoni yangu: Bado tunaendelea kuonekana wajinga sana na ndiyo Maana Kila Kukicha wanaendelea Kuleta uongo uliotukuka

Huyo mwanasayansi nguli si ajabu akawa MK254 katika jina jingine tu.
 
Back
Top Bottom