MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Aache kusumbua watu...taarifa zote zipo mtandaoni...Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameliomba Baraza la Mitihani nchini kukanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikisema shule kumi za mwisho kitaifa zinatoka mkoani Mtwara jambo ambalo si kweli na hivyo kuleta sintofahamu kwa mkoa na umma wa Watanzania.
Taarifa: ITV Tanzania
Hata hivyo Mpiga Mkwara Mkuu asisahau kuwa kwa Kawaida Jambo la Kwanza huwa linashika zaidi Sikioni hata kama baadae likija Kukanushwa.
Sasa kama tu Mkuu wa Mkoa ni Nonsensical namna hii kuna haja tena ya Sisi wengine kuendelea Kuhoji kwanini Mkoa wake umeongoza Kufelisha?Aache kusumbua watu...taarifa zote zipo mtandaoni...
Huku ni kukosa maarifa....ujinga mtupu
Exactly....huyu jamaa ni useless yaani ni afadhali afunge mdomoSasa kama tu Mkuu wa Mkoa ni Nonsensical namna hii kuna haja tena ya Sisi wengine kuendelea Kuhoji kwanini Mkoa wake umeongoza Kufelisha?
Msaidizi wake Mmoja hapo hapo Ofisini Kwake ( namlinda yasije Kumkuta ) aliwahi kuniambia Jamaa alivyo Mtupu sikuamini ila lea nimemuamini.Exactly....huyu jamaa ni useless yaani ni afadhali afunge mdomo
Na ninashangaa kweli kweli tu ni kwanini hadi hivi sasa Msigwa wa Ikuku akiwa Chato sasa hajaja ya Taarifa ya Utenguaji wa RC huyu wa Mtwara.Anaogopa kufutwa cheo
Nawaomba na hawa Watu wa Baraza la Mtihani nao waje na Majibu Kwake kuwa wanamuomba waende nae Kumpima Akili kama zimetimia hasa.Pole zake bwana kaka. Ang'oe ujinga kama alivyong'oa bustani za watu kule Hai
Yaani ninavyowajua Baraza la Mtihani Tanzania lilivyo na Watendaji Intelligent na Academicians hasa waje na Taarifa ya Uwongo ihusuyo Mtwara?Haa haa haa! Kwa hiyo anapingana na matokeo, anahic wamefelishwa sio.Hivyo anataka wafaulishwe au? Unawezaje kukanusha taarifa ya matokeo ya mitihani? Haya wanazuoni karibuni mtujuze how can this be possible?
Labda Kwetu huku Pemba Ndugu, ila amesahau tu ya kwamba hakuna Watu wanaopenda Elimu na Kichwani wapo vizuri Kiupeo kama Wapemba.Asee. Kwa hiyo alitaka mkoa upi uwe wa mwisho[emoji2]
Huyo Msigwa wa Ikuku ndio yupi??Na ninashangaa kweli kweli tu ni kwanini hadi hivi sasa Msigwa wa Ikuku akiwa Chato sasa hajaja ya Taarifa ya Utenguaji wa RC huyu wa Mtwara.
kukanusha na kutaka waombwe radhi ungekuwa na mantiki kama angetaja mkoa uliohitimisha ufaulu na kuzutaja shule za mkoa huo. Ikumbukwe ni mkoa huko nyuma wanafunzi walikacha shule kwenda kuokota korosho. Wahimize wazazi wawasimamie watoto kimasomo, kulia haitainua ufaulu.Asee. Kwa hiyo alitaka mkoa upi uwe wa mwisho[emoji2]