Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Akiuliwa kibabe kama alivyouliwa Ali Khamenei, watatumia. Wale akili yao sio nzuri—wamewahi kutumia nukes kwenye mazingira rahisi zaidi ya hayo!
Soma NPT ilianzishwa lini na Tume ya Atomiki ilianza lini.Kwenye NK unaweza weka hata China hata Russia hawa wana silaha za maangamizi wanapaswa kudhibitiwa na U.S kama alivyofanywa Saadam.
Mifano ipo mingi tu ukitoa NK
Kwa sababu Iran anatumia convention weapons kushambulia majirani, na anapanga kuangamiza mshirika wa US. Hivyo akipata nukes agenda yake inaendelea. Lini ulisikia North Korea imewapa magaidi silaha washambulie majirani?Kwani kavamia Iran kwa sababu gani ?
Last time US aingia Korean peninsula ni pale North Korea ilivyoivamia South Korea mpaka kuelekea kushinda.Who is worse than the U.S. in this context?
kama benjamin kashafeli atafnyaje sasa,uwezo wa kupigana na iran hana,atafanyaje?iRGC wanajifanya kama wao ndio wakuu wa jihad wa wavaa mashuka duniani kote.
Waliapa kutengeneza kalifeti ya kishia kwa kuangamiza wayahud, wakrsto, yazid na kurd na wasuni wanaowapinga.
Muda wao unazidi kwenda, tik tok, tik tok.
kama benjamin kashafeli atafnyaje sasa,uwezo wa kupigana na iran hana,atafanyaje?
Iran hana nuclear, Israel na CIA wangeshajua.
so why nukes while they killed all those people...did benjamin say why he have to hit IRAN with nuclear?KWANINI MTU MWENYE UWEZO ATUMIE PANGA KUPIGANA NA ASIYE NA UWEZO...binadamu huchukuaga maamuzi mabaya pale tu anaposhindwaduh. last i check, viongozi wote wa islamic republic wameuliwa kuanzia ayatola ambaye ni amiri jeshi mkuu, mkuu wa majeshi soleimani mpaka familia na wajukuu wa ayatola, halafu bado unasema hawana uwezo wa kupigana na irani? USA anaingia na kutoka anga ya irani anavyotaka, wewe adui yako anaingi nyumbani kwako anavyotaka anachukuwa anachotaka ahalfu bado unasema kwamba hana uwezo wa kupigana na wewe? ...
so why nukes while they killed all those people...did benjamin say why he have to hit IRAN with nuclear?KWANINI MTU MWENYE UWEZO ATUMIE PANGA KUPIGANA NA ASIYE NA UWEZO...binadamu huchukuaga maamuzi mabaya pale tu anaposhindwa
Huyo kama wakitaka kummaliza watamtumia mmarekani mwenzake wala sio mtu atoke Iran. Kama ambavyo alilengwa kwenye kampeni na aliyedakwa alikua mmarekani basi ndio next time.yes, ikitokea D.Trump kama raisi wa USA akawa assasinated na nchi nyingine, USA will revenge hata kama ikibidi nuclear weapons kulingana na uwezo wa adui, haijawahi kutokea raisi wa USA akawa assasinated na nchi nyingine wakiwa vitani ...
Sio kweli kuwa silaha zote zinaruhusiwa, in fact Israel hajawahi kiri anazo nuclear wala hajawahi ruhusu kukaguliwa so anazo illegaly na akitumia basi tegemea retaliation kutoka Pakistan na dunia inaweza Ingia kwenye nuclear holocaust., na kila silaha inaruhusiwa
Sio kweli, kwenye vita haupaswi kuua wasio wanajeshi kwahiyo tumia silaha yoyote superior ya kummaliza adui huku ukipunguza madhara kwa raia wema otherwise hata Russia ingeshatumia Nuclear bombs kumalizana na Ukraine pia China ingetumia kumalizana na Taiwan.sasa hauwezi kisema kwamba usitumie mishale wote tutumie mawe tuone nani ni mshindi, i mean na wewe tengeneza upinde imara zaidi ya adui, kama hauwezi acha kupoteza muda na maisha ya watu wako surrender na jipamge upya ,
wala hujajibu swali kwamba kwanini benjamin atumie nuclear?kuna vitu haviitaji ushabiki vinahitaji maarifa tu,just sit there soma mchezo uangalie na kutafakari kwanini huyu anafanya hivi na vile,kwanini huyu anasema hivi na vileunamaanisha nini unaposema "maamuzi mabaya"? vita haina macho, na kila silaha inaruhusiwa na ambaye ana superior weapon anashinda, iko hivyo tangia ujima kama wewe una mawe adui ana uwezo wa kutengeneza upinde imara na mishale yenye sumu kali atakushinda, sasa hauwezi kisema kwamba usitumie mishale wote tutumie mawe tuone nani ni mshindi, i mean na wewe tengeneza upinde imara zaidi ya adui, kama hauwezi acha kupoteza muda na maisha ya watu wako surrender na jipamge upya ,,,
Hakuna popote amesema watatumia nuclear. Yeye amesema enzi za kushambuliwa bila kulipa mara dufu zimepita. Na akasema ameshafanya hivyo kwa Axis (hezbollah na Hamas). Kwahiyo kama issue ni nuclear kwani amewahi tumia nuclear Lebanon na Gaza?Msikilize mwenyewe Netanyahu, anasema this time there will be no next time ...
Benjamin Netanyahu has now publicly threatened to use nuclear weapons against Iran while speaking in Dimona, near Israel's main nuclear research facility, where the country maintains an undeclared nuclear weapons program.Netanyahu made it clear that this "will be a very different event and much more powerful.""We are prepared for any scenario."
North Korea ni tishio kwa South Korea na Japan..Mkuu kwanini unaona kati ya nchi zote duniani US anastahiri kuivamia North Korea.
Nuclear weapons haziuzwi.Iran wanunue tu nuclear weapons. USA na Israel ni hardcore criminals wanaovaa personality ya watu wema!
wala hujajibu swali kwamba kwanini benjamin atumie nuclear?kuna vitu haviitaji ushabiki vinahitaji maarifa tu,just sit there soma mchezo uangalie na kutafakari kwanini huyu anafanya hivi na vile,kwanini huyu anasema hivi na vile
kila siku mnatuambia israeli ni mwamba kwenye maswala ya vita ki ukweli hamsemi hivyo kwasababu eti ana nuclear...na kama kila silaha inaruhusiwa kwann IRAN haruhusiwi kuwa nuclear,umeelewa hapo ulichosema au ni kutojitambua na ushabiki tu!
UKWELI MCHUNGU ILA ITABAKI KUWA NUCLEAR NI KITU CHA MWISHO KABISA KUTUMIA BAADA KUONA KILA KITU UMESHINDWA.
This is an overstatement, WOTE kivipi? IRGC ingebaki vipi madarakani kama WOTE wameshakufa? Mnapenda kukuza vitu sana.viongozi wote
Ayatollah mbona watoto wake na wajukuu walikuwepo kwenye msiba tena madume kibao tu. Pia mkuu wa majeshi Ahmad Vahidi yupo hai na amekuwepo top rank IRGC tokea miaka ya 80 so unaposema WOTE wameuwawa unakosea sana.mkuu wa majeshi soleimani mpaka familia na wajukuu wa ayatola,
Sio kweli mpaka ceasefire ilikua ndege 42 zimedunguliwa au damaged na hii ni kwa mujibu wa taarifa ya bunge la USA. Kwahiyo mtu anayeingia free hawezi dunguliwa. Pia Iran mbona inalipua makambi ya jeshi la marekani kwani ina maana US haina ulinzi imara? Hata hao Israel mbona kipindi cha vita kombora yalikua yanapita hadi yakalipua petrochemical sites za Dimona, bandari ya haifa, research institutes, hopistali, kambi za jeshi n.kUSA anaingia na kutoka anga ya irani anavyotaka, wewe adui yako anaingia na kutoka nyumbani kwako anavyotaka anachukuwa
Hii vita walianzisha ili waung'oe utawala wa IRGC na wachukue hizo enriched uranium. Je wamefanikiwa katika hayo? Kma hawajafanikiwa ndio hiko tunasema hawana uwezo maana hizo ni airstrikes tu ila hakunaga nchi imepigwa kwa ndege tu lazima ulete askari wa miguuni na US and Israel wanajua hilo ila hawana huo ujasiri maana itakua bloody war kuliko Ukrainehalafu bado unasema kwamba hana uwezo wa kupigana na wewe? ...
Hakuna popote amesema watatumia nuclear. Yeye amesema enzi za kushambuliwa bila kulipa mara dufu zimepita. Na akasema ameshafanya hivyo kwa Axis (hezbollah na Hamas). Kwahiyo kama issue ni nuclear kwani amewahi tumia nuclear Lebanon na Gaza?
Naona lugha bado changamoto