Kumekucha, Philip Coutinho wa Liverpool awasilisha hati kwa uongozi wa Liverpool kutaka kuhama!

Liverpool nyie kwa sasa hadhi yenu ni kina lalana mwachen coutinyo aende zake

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kaondoka Suarez, Sterling wamuache na huyu tu aondoke. ingawa ni mchezaji mzuri ila ndio mpira ulivyo kila mchezaji akifika level flani anataka new challenge.
 
Hata ungekua wewe wakuambie chagua ucheze na nani kati ya iniesta au Jordan Henderson sijui ungemchagua nani?
 
mmmh! wrong !!! Kwa kikombe cha EFA wote wapo sawa -5times.
- Ulaya FC.Barca anavikombe vingi sana ikifuatia Madrid .

Sent using Jamii Forums mobile app
Real ndo ana vikombe vingi akifuatiwa ma kina ac milan nafikiri! Barca nayo ni timu ndogo kwa real ktk vikombe kote spain na ulaya real ndo dume lao!
 
Barca wangemchukua Hazard . Namwelewa sana Hazard ni fundi . Anasifa kama Messi tofauti ni kwamba Messi yupo vizuri kwenye kufunga magoli zaidi na hapendagi ku_dive. Dribbling, Pass ,Nutmegs, chenga(kukusanya kijiji) wanafanana sana.

No! Haujanielewa . Sijamaanisha nani kabeba vikombe vingi vya UEFA CHAMPION LEAGUE.
Ninamaanisha kuwa Ulaya nzima timu inayoongoza kwa vikombe vingi ( jumla ya vikombe) namba moja Barca. na mbili Madrid.
Barca ana_approach 87, Madrid 85.

Sasa nimekuelewa, ngoja nizame mitandaoni nijiridhishe!!
 
Barca wangemchukua Hazard . Namwelewa sana Hazard ni fundi . Anasifa kama Messi tofauti ni kwamba Messi yupo vizuri kwenye kufunga magoli zaidi na hapendagi ku_dive. Dribbling, Pass ,Nutmegs, chenga(kukusanya kijiji) wanafanana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard ni winga wa kufanya kaunta attack, coutinho kwangu ni fundi zaidi na style ya barca itamfit vizuri, hazard style yake ni real madrid.
 
Real ndo ana vikombe vingi akifuatiwa ma kina ac milan nafikiri! Barca nayo ni timu ndogo kwa real ktk vikombe kote spain na ulaya real ndo dume lao!
acha uongo ww..........hio ni kwa champions league but kwa vikombe vyote hadi vya ndondo barca ndo inaongoza ulaya
 
Back
Top Bottom