barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
- Thread starter
- #21
Okei.acha uongo ww..........hio ni kwa champions league but kwa vikombe vyote hadi vya ndondo barca ndo inaongoza ulaya
Sasa champions league 12 si sawa na ndondo zote za barca??
Anyway, nimekuelewa na nakubaliana na wewe.