barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mashine inaenda mji wa Catalunya hii!
Mzee una moyo kusema Liverpool team ndogoMalafyale, timu ndogo ni timu ndogo tu! Jembe lenu linaondoka, sioni Klopp akimzuia mtu ambaye anataka kuondoka.
Mtamreplace na nani?? Confusion comes again on the blink of new epl compaign!
Ni timu kubwa ya zamani.
mmmh! wrong !!! Kwa kikombe cha EFA wote wapo sawa -5times.Liverpool ilianza kabla ya Coutinho na itaendelea baada ya Coutinho. Liverpool ina Makombe mengi ya Uefa Champ Zaid ya Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Real ndo ana vikombe vingi akifuatiwa ma kina ac milan nafikiri! Barca nayo ni timu ndogo kwa real ktk vikombe kote spain na ulaya real ndo dume lao!mmmh! wrong !!! Kwa kikombe cha EFA wote wapo sawa -5times.
- Ulaya FC.Barca anavikombe vingi sana ikifuatia Madrid .
Sent using Jamii Forums mobile app
No! Haujanielewa . Sijamaanisha nani kabeba vikombe vingi vya UEFA CHAMPION LEAGUE.Real ndo ana vikombe vingi akifuatiwa ma kina ac milan nafikiri! Barca nayo ni timu ndogo kwa real ktk vikombe kote spain na ulaya real ndo dume lao!
Sasa nimekuelewa, ngoja nizame mitandaoni nijiridhishe!!No! Haujanielewa . Sijamaanisha nani kabeba vikombe vingi vya UEFA CHAMPION LEAGUE.
Ninamaanisha kuwa Ulaya nzima timu inayoongoza kwa vikombe vingi ( jumla ya vikombe) namba moja Barca. na mbili Madrid.
Barca ana_approach 87, Madrid 85.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard ni winga wa kufanya kaunta attack, coutinho kwangu ni fundi zaidi na style ya barca itamfit vizuri, hazard style yake ni real madrid.Barca wangemchukua Hazard . Namwelewa sana Hazard ni fundi . Anasifa kama Messi tofauti ni kwamba Messi yupo vizuri kwenye kufunga magoli zaidi na hapendagi ku_dive. Dribbling, Pass ,Nutmegs, chenga(kukusanya kijiji) wanafanana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo ww..........hio ni kwa champions league but kwa vikombe vyote hadi vya ndondo barca ndo inaongoza ulayaReal ndo ana vikombe vingi akifuatiwa ma kina ac milan nafikiri! Barca nayo ni timu ndogo kwa real ktk vikombe kote spain na ulaya real ndo dume lao!