Kumekucha, Philip Coutinho wa Liverpool awasilisha hati kwa uongozi wa Liverpool kutaka kuhama!

acha uongo ww..........hio ni kwa champions league but kwa vikombe vyote hadi vya ndondo barca ndo inaongoza ulaya
Okei.
Sasa champions league 12 si sawa na ndondo zote za barca??
Anyway, nimekuelewa na nakubaliana na wewe.
 
Had I muda huu Liverpool bado wanakanusha kupokea barua tika kwa Coutinho,pia kumbuka katika mkataba wake wa January hakuna kipengele cha kuachiwa kwa bei (I.e Release Clause) kama kwa Suarez au wengine waliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Transfer request ina impact kubwa sana, labda liver waamue kumfanyia umafia Coutinho ambayo haitamuweka coutinho ktk saikolojia nzuri ya kucheza, cha msingi wavute mshiko ambao ni mrefu tu maisha yaendelee! Liver itawauma ila ndo laifu, ukiwa mdogo utauza tu kwa wakubwa.
 
Habari ndo hiyo, Ni ngumu sana kuikatalia barca wakati inakutongoza!
Coutinho awasilisha ombi la kutaka kuhama liverpool fc, ni wazi anasafisha njia ya kwenda barca!

Source: SkySports.

BONYEZA hapa kusoma habari toka SKYSPORTS.
Transfer Request means nothing kwenye ishu hizi....angekuwa na Release Clause kwenye mkataba wake ingemata zaidi....

By the way...kama Barca yenyewe inakimbiwa na super Star wake itakuwa Liverpool??

Football is business siku hizi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
messi anajua kupiga chenga?!!!au mie tv nayoangalia hunidanganya?..kama messi hupiga chenga okocha na dinho walikua wanapiga ninu?!!
 
Malafyale, timu ndogo ni timu ndogo tu! Jembe lenu linaondoka, sioni Klopp akimzuia mtu ambaye anataka kuondoka.
Mtamreplace na nani?? Confusion comes again on the blink of new epl compaign!
watafanya kama walivyofanya kwa suarez
 
Malafyale, timu ndogo ni timu ndogo tu! Jembe lenu linaondoka, sioni Klopp akimzuia mtu ambaye anataka kuondoka.
Mtamreplace na nani?? Confusion comes again on the blink of new epl compaign!
Unauliza replacement????
Umeshawahi kuona club inakosa kupata mtu mwenye kiwango cha aliyeondoka?
Asiponunuliwa basi atatokea academy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
messi anajua kupiga chenga?!!!au mie tv nayoangalia hunidanganya?..kama messi hupiga chenga okocha na dinho walikua wanapiga ninu?!!
maswali kama haya ni ya kipuuzi kweli,nenda ukamuulize boateng wa bayern au ramos wa madrid majibu wanayo.

tatizo la wabongo tunapenda sana comparison.SORY KWA KUKU-QUOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…