Kumekucha, Philip Coutinho wa Liverpool awasilisha hati kwa uongozi wa Liverpool kutaka kuhama!

Kwa sentence hiyo unataka kutuaminisha kuwa PSG ni kubwa kuliko Barca.....!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
messi anajua kupiga chenga?!!!au mie tv nayoangalia hunidanganya?..kama messi hupiga chenga okocha na dinho walikua wanapiga ninu?!!
Wote wanapiga chenga mkuu, kwani hati miliki ya chenga walikua nayo hao tu?
 
Kivipi?? Huo ni mtazamo wako, kwangu psg ni katimu ka ndondo inapokuja kuwafananisha na barca!
Kwenye post yako uliandika kuwa ukiwa mdogo lazima uwauzie wakubwa....... Barca wamewauzia PSG, labda ukarekebishe kule juu.....


Kwa PC kuondoka au kutoondoka ni jambo tunalotegemea hata kama limekuja kwa ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar alipoondoka watu walimponda kweli kweli lakin alipokua anafunga magoli walisahau kwamba walikua wanaahangilia!!

Sasa sijui na cotinho nae watamponda na kumtusi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kazi ya kukusanya kijiji na dribbling ni ya Messi. Coutinho anaenda kufanya kazi ya Inesta. Na kazi ya Inesta sio hizo mambo unazosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…