Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Ngoja waje waa-iran wa bongo,utasikia Iran mwisho wa habari. USA wanaigwaya iran

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Cha habari Ni misleading,
Iran urging UNITED NATION,means UNO sio US to lift ilegal sanction,na hi SI Mara ya kwanza Iran kuimbia UNO kuondoa vikwazo vya marekani.
In case hujui Iran na China wanafanikiwa ku ucontain ugonjwa huo,wakati marekani wanafichwa na hawana vifaa vya kudeal na huu ugonjwa mpaka China imeamua kuisaidia marekani kea kuwapa vipimo
 
Mchina, Mtaliano, woooote wameomba msaaada jumuia za kimataifa kupambana na huu ugonjwa, itakuwa Iran??
Hili ni janga la kiulimwenguuu sio la kufurahiaa, hao wenyewe kina Trump huko kwao wanashikana uchawi ss Corona inashika kasi
 
Ni sawa na kumtibu mbaya wako ili akipona muendelee kupigana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwongooooo,,,,mkuuu hiyo kitu haipo ni propaganda.
 
Vikwazo vinasimamiwa na umoja wa mataifa au marekani?
Hili gonjwa hatari kwanza ilikuwa inasemekana wachina wamechana kitabu kitakatifu sasa Iran nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante Mkuu kwa kuwatolea uvivu! Nimesoma na kurudia labda kuna kifungu nimeruka kinachomuhusu Mmarekani,sikufanikiwa kukiona.
 
Ww unauhakika gani na unachokiongea au ndio misa ya leo hio?
Always trust yr self.
 
KUOMBA MKOPO IMF NI HAKI YA KILA NCHI DUNIANI, MAREKANI NDIO INAYOONGOZA DUNIANI KWA DENI KUBWA, SASA KIPI KINACHOKUSHANGAZA IRAN KUOMBA MKOPO? AU KWAKUA NI IRAN?
Yaani Iran watengeneza kombora ili upigane na Israel halafu washindwa hata kutengeneza infusion pump. Huo si upuuzi tu.

Always trust yr self.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…