Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Iran Anaongea Na UN Sio Bwege US US Kamuombeni Nyie wenzenu wanajitambua hawana kumpapatikia mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameongea na UN imsaidie 'Vikwazo vya US viondolewe'. Yaani vikwazo vya US vimemfanya aombe poo na kupelekea aandike barua kwa US via UN kuomba iondoe vikwazo.
Iran inajua vile vikwazo ni vya US sio vya UN, na inajua wa kuviondoa ni US sio UN, na inajua US ndo UN, na inajua kuiandikia UN Ni kufikisha ujumbe kwa US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameongea na UN imsaidie 'Vikwazo vya US viondolewe'. Yaani vikwazo vya US vimemfanya aombe poo na kupelekea aandike barua kwa US via UN kuomba iondoe vikwazo.
Iran inajua vile vikwazo ni vya US sio vya UN, na inajua wa kuviondoa ni US sio UN, na inajua US ndo UN, na inajua kuiandikia UN Ni kufikisha ujumbe kwa US.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama US Ndio UN kwanini asiwapelekee barua kina pompeo[emoji16][emoji16]

Kama UN Ndio US Mbna UN Hio Hio Ilikataa Maazimio Dhidi Yaserikali Ya SYRIA Yalowasilishwa Na US

Nonsense

Sent using My COVID-19
 
Mjanja anaetengeneza silahanakusaidia wanyonge pamoja nakujilinda yeye kamayeye ili asiletewe upuuzi nawapuuzi kama wa US

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wakiumwa atawasaidia kwa kutumia silaha?
US my friend is something else nilikuwa na fikra kama zako waaaay back wameendelea kupitiliza.

Yani mimi leo hii naweza kufanya booking ya siku ya kumuona daktari na siku ikifika wananipigia simu kunikumbusha na kama nitakuwa busy wanatuma gari kunifata wao wenyewe nikitaka.
Mtu asiye na bima huyu akiumwa ugonjwa wowote hata deadliest diseases like cancer anakuwa treated free ila atarejesha nusu ya gharama za matibabu baada ya ku-recover na asipopona serikali itagharamia hadi mahali atakapolazwa (resting place).
 
We kweli mchicha pori mamilioni ya raia walio uliwa Iraq Syria Afghanistan Libya bado umeshindwa kumuita mmarekani mkuu wa ugaidi duniani kweli jf inapoteza ubora wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Ingekuwa imepigwa nchi yoyote ya kikafiri ndani ya bara la afrika ingemuuma sana na kuilaani taifa la kishoga linalomtambua yeye kama SOKWE na MZINZI,,,lakini kwakuwa nchi za kiislamu raia wasio na hatia kuuawa kama vile Libya, Sudan, Iraq, Afghanistan, Syria, Palestine wala haimuumi hata wakifa watoto wazee wajane yeye anafurahia 2,,,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama US Ndio UN kwanini asiwapelekee barua kina pompeo[emoji16][emoji16]

Kama UN Ndio US Mbna UN Hio Hio Ilikataa Maazimio Dhidi Yaserikali Ya SYRIA Yalowasilishwa Na US

Nonsense

Sent using My COVID-19

Ushaambiwa UN ndo walewale US kwa hiyo kuiandikia UN ndo kuwaandikia haohao akina Pompeo, yaani Ni kama vile akina mdee wanavyopigwa na polisi ni wamepigwa na ccm, au wapinzani wanavyoandikia polisi barua ya kufanya mikutano yao ni sawa na wamewaandikia ccm make polisi ndo haohao ccm, ccm wakikataa hakuna mkutano.
Kama UN sio US kwa nini Iran kaiandikia UN wakati vikwazo sio vya UN ni vya US.

Amka usingizini wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamako wewe, maarabu yalikuwa yanafanya nini Bagamoyo, kilwa na Zanzibar?

Kabinuke huko

Wewe mbantu/mgalatia unaeabudu sanamu badala ya Mungu aliekuumba,,,nielewe! Cc 2taendelea kuwapenda waarabu, kuwaheshimu na kuwathamini maana hata mitume wametokea huko middle east, Mtume wetu Muhammad rehma na amani za Allah ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu, na wala hakuwa mzungu, mwafrika ama mchina n.k,,na huko ndiko uislamu ulipoanzia. Wewe endelea kuwapamba hao makafiri wanaokutambua SOKWE, MZINZI, USIEPENDA KAZI,,wakati waarabu hawakuwahi na hawatathubutu kutuita hayo majina, ni watu wastaarabu,wenye heshima zao na wakarimu kuliko taifa lolote duniani. Na uislamu ndio una2taka tuwe hivyo.

Sawa mgalatia! Endelea kuteseka tu 😁😁
 
Mamako wewe, maarabu yalikuwa yanafanya nini Bagamoyo, kilwa na Zanzibar?

Kabinuke huko

Wame2letea uislamu na uctaarabu,,wakati huo mababu zenu hawajui hata kujitawaza, kupiga mswaki, kujistiri, kuongea kiswahili fasaha n.k. upo hapo? Wakati nyie wagalatia walikuja mabeberu kuwasomba kama samaki na kuwapeleka utumwani na kuwa2mikisha kama punda 😁😁😁 Allah awajaze kheri waarabu na waislamu wote kwa ujumla,,, na wale wote waliouawa Zanzibar dhidi ya Abeid karume na mshirika wake mkubwa Laanatullah alaihi NYERERE, Allah awarehemu waislamu hao na awafutie madhambi yao!
 
Wewe mbantu/mgalatia unaeabudu sanamu badala ya Mungu aliekuumba,,,nielewe! Cc 2taendelea kuwapenda waarabu, kuwaheshimu na kuwathamini maana hata mitume wametokea huko middle east, Mtume wetu Muhammad rehma na amani za Allah ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu, na wala hakuwa mzungu, mwafrika ama mchina n.k,,na huko ndiko uislamu ulipoanzia. Wewe endelea kuwapamba hao makafiri wanaokutambua SOKWE, MZINZI, USIEPENDA KAZI,,wakati waarabu hawakuwahi na hawatathubutu kutuita hayo majina, ni watu wastaarabu,wenye heshima zao na wakarimu kuliko taifa lolote duniani. Na uislamu ndio una2taka tuwe hivyo.

Sawa mgalatia! Endelea kuteseka tu 😁😁
Abdoool wapende tu no one among us care!
Nitajie nabii au mtume aliyekuwa muarabu tofauti na huyo wenu aliyekuwa hajui kusoma wala kuandika.

Note; utakapomtaja kumbuka kuniambia alikuwa anamuabudu Mungu gani
 
Wame2letea uislamu na uctaarabu,,
Ni juu yenu we don't care

wakati huo mababu zenu hawajui hata kujitawaza, kupiga mswaki, kujistiri, kuongea kiswahili fasaha n.k. upo hapo?
Nonsense!
Kiswahili wamekileta wao?
Muarabu gani aliitawala Tanganyika au German East Africa akaanza kuwafundisha hayo watu?
Tanganyika ilikuwa na shule mitaala iliyokuwa inatumika ilikuwa ya kiarabu?

Wakati nyie wagalatia walikuja mabeberu kuwasomba kama samaki na kuwapeleka utumwani na kuwa2mikisha kama punda 😁😁😁
Historia ya waarabu huijui wewe au unaijua ila you pretend to be ignorant.
Bagamoyo, Zanzibar, Kilwa kivinje, huku kote kulikuwa na masoko ya watumwa ya waarabu.

Allah awajaze kheri waarabu na waislamu wote kwa ujumla,,, na wale wote waliouawa Zanzibar dhidi ya Abeid karume na mshirika wake mkubwa Laanatullah alaihi NYERERE, Allah awarehemu waislamu hao na awafutie madhambi yao!
Allah amewahi kutenda miujiza gani kwa mujibu wa koran?
Waarabu malofa tu everything is discovered and inverted by whites few are black
 
sijawahi kupingana nawala sitawahi kupinga yakwamba us wapo mbele sana kulinganisha namataifa mengineyo ulimwenguni nawala hakuna sehemu nimesema kama jamaa wakonyuma ama wamezidiwa na iran ila ishu nikwamba maendeleo yao yasiwe sababu yakuwaonea wenzao ama kuwafanya wenzao wasiendelee huo ni upuuzi kwao nakwawaungaji mkono wao
Hao watu wakiumwa atawasaidia kwa kutumia silaha?
US my friend is something else nilikuwa na fikra kama zako waaaay back wameendelea kupitiliza.

Yani mimi leo hii naweza kufanya booking ya siku ya kumuona daktari na siku ikifika wananipigia simu kunikumbusha na kama nitakuwa busy wanatuma gari kunifata wao wenyewe nikitaka.
Mtu asiye na bima huyu akiumwa ugonjwa wowote hata deadliest diseases like cancer anakuwa treated free ila atarejesha nusu ya gharama za matibabu baada ya ku-recover na asipopona serikali itagharamia hadi mahali atakapolazwa (resting place).
yote kwayote vikwazo kwa iran havija anza leo natuone kama wasipo waondolea vikwazo kama wairan wote watakufa sababu yavikwazo vyao vyakipuuzi haiwezekani na haitakaa iwezekanike eti uyumbishwe na mtu kisa anauwezo kuzidi wewe kama unaweza kukabiliana nae kabiliana nae tu haijalishi.....

Sent using My COVID-19
 
kwani iran hana vikwazo toka UN
Ushaambiwa UN ndo walewale US kwa hiyo kuiandikia UN ndo kuwaandikia haohao akina Pompeo, yaani Ni kama vile akina mdee wanavyopigwa na polisi ni wamepigwa na ccm, au wapinzani wanavyoandikia polisi barua ya kufanya mikutano yao ni sawa na wamewaandikia ccm make polisi ndo haohao ccm, ccm wakikataa hakuna mkutano.
Kama UN sio US kwa nini Iran kaiandikia UN wakati vikwazo sio vya UN ni vya US.

Amka usingizini wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
US na UN mambo mawili tofauti kabisaaaa ijapokua yanashabihiana.....

Sent using My COVID-19
 
kwani iran hana vikwazo toka UNUS na UN mambo mawili tofauti kabisaaaa ijapokua yanashabihiana.....

Sent using My COVID-19
Yes, Iran hana vikwazo kutoka UN, vikwazo vya UN viliondolewa 2016. Hata kama vingekuwepo vikwazo vinavyoumiza Iran na anavyoomba viondolewe ni vile vya US.
Hata police na ccm ni vitu viwili tofauti lakin ndo walewale, au hukumsikia bashiru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunapojadiliana mambo ya maana ukiwa unanletea siasa zenu zaajabu ajabu tutashindwa masuala yenu ya cdm cjui ccm mtajuana nayo wemyewe mm hayanihusu nandio maana hujawahi niona nikichangia suala lolote kuhusiana na hizo mada mkuu tunapobishana baina ya mimi nawewe masuala yenu ya ccm cjui cdm achana nayo tujadili mambo yamaana.....
Yes, Iran hana vikwazo kutoka UN, vikwazo vya UN viliondolewa 2016. Hata kama vingekuwepo vikwazo vinavyoumiza Iran na anavyoomba viondolewe ni vile vya US.
Hata police na ccm ni vitu viwili tofauti lakin ndo walewale, au hukumsikia bashiru!

Sent using Jamii Forums mobile app
turudi kwenye mambo ya maama vikwazo vya US Dhidi ya IRAN Havija Anza Baada Ya Mripuko wakorona na walahavitaondolewa katika kipindi cha mripuko wakorona na wala baada ya mripuko IRAN Wamezuiliwa vitu vingi sana mpaka madawa yakupambana na saratani/kansa ila hatimae wakapambana hawakuyapata yote ila waliyapata waloyapata

haya ya COVID-19 Yatapita tu kama mengine yalivyopita

Sent using My COVID-19
 
Kuna habari nimesoma kwamba Iran anaomba mkopo wa dharura wa $5 billion kutoka IMF lakini kuna hofu namashaka kwamba ombi lao lisifanyiwe kazi kutokana na hizi campaign za US against Iran.
Nadhani US wangeshusha tuu silaha zao waache watu wapambane na ugonjwa kwanza kisha ugomvi uendelee.
Wana tatizo na Iran government na sio raia wa iran.
Uko sahihi! Huu ugonjwa (Covid -19) ni adui kwa kila nchi
 
tunapojadiliana mambo ya maana ukiwa unanletea siasa zenu zaajabu ajabu tutashindwa masuala yenu ya cdm cjui ccm mtajuana nayo wemyewe mm hayanihusu nandio maana hujawahi niona nikichangia suala lolote kuhusiana na hizo mada mkuu tunapobishana baina ya mimi nawewe masuala yenu ya ccm cjui cdm achana nayo tujadili mambo yamaana.....turudi kwenye mambo ya maama vikwazo vya US Dhidi ya IRAN Havija Anza Baada Ya Mripuko wakorona na walahavitaondolewa katika kipindi cha mripuko wakorona na wala baada ya mripuko IRAN Wamezuiliwa vitu vingi sana mpaka madawa yakupambana na saratani/kansa ila hatimae wakapambana hawakuyapata yote ila waliyapata waloyapata

haya ya COVID-19 Yatapita tu kama mengine yalivyopita

Sent using My COVID-19
Hapa inshu ni vikwazo vya US vinaiumiza Iran kiasi cha Iran kuomba viondolewe, hiyo mingine ni mifano tu. [emoji2][emoji2][emoji2] Wewe ungekuwa ni miongoni mwa wanafunzi wa Yesu ungemsumbua sana, make alitumia sana mifano, mara mpanzi, mara sarafu ya kaisal, mara mtu alikuwa amelala njia ya kwenda Yeriko watu wanampita tu, nk.
Tuachane na hayo turudi kwenye mjadala, vikwazo vya US vinaiumiza Iran hasa katika kupambana na corona, upande wanaona US wawe na huruma wasikilize wanachoomba iran, hii ni kwa ajili ya afya ya watu wa jamhuri ya watu wa Iran itapendeza sana, au wewe unasemaje sheikh?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sio jamhuri yawatu wa IRAN ni JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN

vikwazo vya US hakuna nawala sijawahi kupinga kama havina athari kwa waajemi nanimiongoni mwa mpingaji mkubwa sana waunyanyasaji huo maana naelewa kwa 99% unawatesa zaidi raia wakawaida kuliko viongozi na matajiri wengine
Hapa inshu ni vikwazo vya US vinaiumiza Iran kiasi cha Iran kuomba viondolewe, hiyo mingine ni mifano tu. [emoji2][emoji2][emoji2] Wewe ungekuwa ni miongoni mwa wanafunzi wa Yesu ungemsumbua sana, make alitumia sana mifano, mara mpanzi, mara sarafu ya kaisal, mara mtu alikuwa amelala njia ya kwenda Yeriko watu wanampita tu, nk.
Tuachane na hayo turudi kwenye mjadala, vikwazo vya US vinaiumiza Iran hasa katika kupambana na corona, upande wanaona US wawe na huruma wasikilize wanachoomba iran, hii ni kwa ajili ya afya ya watu wa jamhuri ya watu wa Iran itapendeza sana, au wewe unasemaje sheikh?!

Sent using Jamii Forums mobile app
ila ishu nikwamba hv sio vikwazo vyakwanza vyawa US Dhidi Ya Jamhuri Ya Kiislam Nawala Havitakua Vyamwisho ikumbukwe yakwamba IRAN Wamezuiwa Kuingiza mpaka madawa koz yavikwazo vya Us

Mwisho kabisa vikwazo vyao wakiviondoa bila masharti yakipumbavu sawa waviondoe ila kama watataka wawaondolee watu vikwazo halafu wawaekee masharti yakijinga bora viendelee tu mojaya sharti lakipuuzi ambalo haliwezi kukubalika ni IRAN Kuachana na Mpango wao wa NYUKLIA.....

Sent using My COVID-19
 
Hivi uongo unawasaidia nini?

Wapi katika chanzo ilipoandikwa kuwa Iran "Wameomba MareKani"? Kama ulivyozuwa

Iran imeuandikia Umoja wa Mataifa na haikwaeiliqnq na Marekani. Acha uongo. Soma tafsiri ya kilichoandikwa Kwa Kingereza...

AFP) Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Mohammad Javad Zarif ameandika barua kwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihimiza kuiondolea vikwazo visivyo vya kisheria na visivyo halali vilivyowekwa na Amerika kwa nchi hiyo, ambayo imezuia sana mapigano ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya janga jipya la coronavirus. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, Abbas Mousavi, aliripoti barua hiyo katika barua pepe ya Alhamisi, akisema kwamba nakala za barua iliyoelekezwa kwa Antonio Guterres pia zilitumwa kwa wakuu wa mashirika ya kimataifa kote ulimwenguni.
Wewe Dada udini umekukaa hadi kero sasa, vikwazo vya Iran viliwekwa na Warusi? Viliwekwa na Wachina?
Ni Marekani ndo waliweka, hiyo UN ni Taasisi ya US ili kuitawala Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijawahi kupingana nawala sitawahi kupinga yakwamba us wapo mbele sana kulinganisha namataifa mengineyo ulimwenguni nawala hakuna sehemu nimesema kama jamaa wakonyuma ama wamezidiwa na iran ila ishu nikwamba maendeleo yao yasiwe sababu yakuwaonea wenzao ama kuwafanya wenzao wasiendelee huo ni upuuzi kwao nakwawaungaji mkono waoyote kwayote vikwazo kwa iran havija anza leo natuone kama wasipo waondolea vikwazo kama wairan wote watakufa sababu yavikwazo vyao vyakipuuzi haiwezekani na haitakaa iwezekanike eti uyumbishwe na mtu kisa anauwezo kuzidi wewe kama unaweza kukabiliana nae kabiliana nae tu haijalishi.....

Sent using My COVID-19
Hawawezi kufa wote wako wengi sana na si wote wanakubaliana au wanaisapoti serikali yao.

Ila watapata tabu sana kama huu ugonjwa utakuwa very deadly zaidi ya Ebola.
Kumbuka wanakabiriwa na vikwazo hivyo uchumi wao utaporomoka sana kwa hili janga
 
Wewe Dada udini umekukaa hadi kero sasa, vikwazo vya Iran viliwekwa na Warusi? Viliwekwa na Wachina?
Ni Marekani ndo waliweka, hiyo UN ni Taasisi ya US ili kuitawala Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa "udini" umemaanisha nini? Au umemaanisha Uislam.

Kama ni hivyo, sasa jiulize wewe Uislqm wangu Mimi wewe unakukera nini? Wewe kama hauna dini siyo tatizo langu ni lako.

Ukitaka Iran wakuandikie wewe wasiuandikie Umoja wewe Mataifa?

Hivi huwa mnafikiri kutumia nini? Hivyo vichwa vitumieni japo kidogo na msiviwache kuwa ni mzigo tu juu ya mabega yenu.

Hakika Yesu aliposema “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” alikuwa hajakosea kabisa. Fikiri, katika hao watoto na wewe umo? Kama haumo wewe ni nani hapo, Kwa mujibu wa Yesu?
 
Back
Top Bottom