FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hawawezi kufa wote wako wengi sana na si wote wanakubaliana au wanaisapoti serikali yao.
Ila watapata tabu sana kama huu ugonjwa utakuwa very deadly zaidi ya Ebola.
Kumbuka wanakabiriwa na vikwazo hivyo uchumi wao utaporomoka sana kwa hili janga
= wanakabiliwa
Wewe ikiwa hata kuandika ni matatizo unaelewa unachokisoma?