Mimi nadhani Jambo litatokea katika dunia hi muda si mrefu...Iran imeshikwa pabaya safari hii,subiri uone hayo masharti watakayopewa maana wameingia kingi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani Jambo litatokea katika dunia hi muda si mrefu...Iran imeshikwa pabaya safari hii,subiri uone hayo masharti watakayopewa maana wameingia kingi wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomali nao kimetua kwao kirusi, mlisema ni adhabu kwa wachoma kurani.Sikushangai, kwani Mkenya ni nani dunia hii anamwita bwana zaidi ya mzungu?
Vipi, naona Wasomali wanawahenyesha huko, nyie na mabwana zenu.
Wasomali nao kimetua kwao kirusi, mlisema ni adhabu kwa wachoma kurani.
Uko kwa mtogole huko unabana pua 'viendelezwe tu'. Wakati vinaowabananisha huko wanaomba viondolewe. We endelea kula viazi huko acha wanaosoteshwa na vikwazo wenyewe waendelee kuomba labda watasikilizwa.Wewe ndio unajitoa ufahamu ila sita acha kukupiga msasa utaelewa tuVikwazo viendelezwe tu ila jakina atakae achana na Nyuklia kwani wakati wanaiwekea iran vikwazo miaka ya 1970s walikua sababu nn
kama wataweka vikwazo waweke tu wakichoka watasema
Sent using My COVID-19
Ignorant trollHehehehehNakama unajidanganya yakwamba eti wairan wataacha mambo yao yamaana na kuanza kumnyenyekea mpuuzi wa US Bila sababu pole sana asee
maana hilo jambo halijawahi kutokea nawala halitakaa litokeee milele mpaka dunia inamaliza [emoji2][emoji23][emoji16][emoji12][emoji14][emoji12]
Sent using My COVID-19
Bibi Umoja wa Mataifa na Marekani ni Kama Mwanamke Kiislam na Hijab!Ukiomba poo kwa UN ..umeomba poo kwa Kafri Marekani...!Mwisho wa siku Irani italainika tu ,Kama ilivyo Saudia ,Qatar ,Misr na Jordan!Acha ujinga. Nioneshe wapi Iran kaandika chochote kwenda Marekani?
Ninachokijuwa mmi ni Iran kuwarushia na kuwatandika Wamerekani kwa makombora ya masafa ya kati (missiles) kwenye kambi zao zilizopo Iraq, ambazo Wamerakani walisema hazipigiki na zipo salama. Hiyo ndiyo siasa niijuayo mimi ya Marekani na Iran.
Diplomasia ya dunia niijuwayo ni kuwa Iran kauandikia Umoja wa Mataifa ushinikize kusitishwa vikwazo kwa ajili ya janga la corona, ambalo hata wewe na mimi hatupo salama nalo tusipokuwa na tahadhari.
Kuna siasa ipi nyingine zaidi ya hayo kwa sasa?
UN na USA ni sawasawa na serikali awamu ya tano na policcmHivi uongo unawasaidia nini?
Wapi katika chanzo ilipoandikwa kuwa Iran "Wameomba MareKani"? Kama ulivyozuwa
Iran imeuandikia Umoja wa Mataifa na haikuwaadikia Marekani. Acha uongo. Soma tafsiri ya kilichoandikwa Kwa Kingereza...
AFP) Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Mohammad Javad Zarif ameandika barua kwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihimiza kuiondolea vikwazo visivyo vya kisheria na visivyo halali vilivyowekwa na Amerika kwa nchi hiyo, ambayo imezuia sana mapigano ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya janga jipya la coronavirus. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, Abbas Mousavi, aliripoti barua hiyo katika barua pepe ya Alhamisi, akisema kwamba nakala za barua iliyoelekezwa kwa Antonio Guterres pia zilitumwa kwa wakuu wa mashirika ya kimataifa kote ulimwenguni.
Na uliposoma hilo la kuomba "poo" ni wapi? Au unaota?Bibi Umoja wa Mataifa na Marekani ni Kama Mwanamke Kiislam na Hijab!Ukiomba poo kwa UN ..umeomba poo kwa Kafri Marekani...!Mwisho wa siku Irani italainika tu ,Kama ilivyo Saudia ,Qatar ,Misr na Jordan!
Usipanic kijana wala usitokwe na povu hao wanaoekewa hivyo vikwazo walishasema na wanasema kilaleo niheri waendelee kua chini yavikwazo milele kuliko kuondolewa vikwazo kwamasharti yakipuuzi moja yasharti lakipuuzi sana kwao nikuachana na mpango wao wa NyukliaUko kwa mtogole huko unabana pua 'viendelezwe tu'. Wakati vinaowabananisha huko wanaomba viondolewe. We endelea kula viazi huko acha wanaosoteshwa na vikwazo wenyewe waendelee kuomba labda watasikilizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndio ukweli mchungu nakama unaona unakuchefua waweza ramba Ndimu[emoji12][emoji14][emoji12]Ignorant troll
Jambo gani unadhani?Mimi nadhani Jambo litatokea katika dunia hi muda si mrefu...
huo ndio ukweli mchungu nakama unaona unakuchefua waweza ramba Ndimu[emoji12][emoji14][emoji12]
Sent using My COVID-19
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haka kajamaa bana! Iran wanaosota navyo wanaomba viondolewe ili vyuma vilainike, wewe ambaye hivi vikwazo havikulengi unapiga unazi JF visiondolewe, mara ooh bila masharti![emoji23][emoji23][emoji23] Ili tu upate kujifurahisha nafsi yako hapa JF international forum.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]Usipanic kijana wala usitokwe na povu hao wanaoekewa hivyo vikwazo walishasema na wanasema kilaleo niheri waendelee kua chini yavikwazo milele kuliko kuondolewa vikwazo kwamasharti yakipuuzi moja yasharti lakipuuzi sana kwao nikuachana na mpango wao wa Nyuklia
kama hamtapeleka dawa na kuondoa vikwazo sawa ila dawa watatengeneza wenyewe vikwazo vyenu bakisheni kwan italy kuna vikwazo gani mbna wanapukutika kama majani yakiangazi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using My COVID-19
Mashia wa tandahimba watasema wanatengeneza ya kwao, wakati mashia wa tehran wakiomba vikwazo vilegezwe angalau waruhusiwe kuingiza madawa na vifaa tiba.
unaelewa maana yamajaribio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona tu watakapoponea kwan be4 walikua wakiponea wap ?!..?..
Mm hua nawanukuu tu maneno yao kama mtaweka vikwazo namkataka kuvitoa kwamasharaiti basi endeleeni kuvieka tu mielle amina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]haka kajamaa bana! Iran wanaosota navyo wanaomba viondolewe ili vyuma vilainike, wewe ambaye hivi vikwazo havikulengi unapiga unazi JF visiondolewe, mara ooh bila masharti![emoji23][emoji23][emoji23] Ili tu upate kujifurahisha nafsi yako hapa JF international forum.
Wewe umebebwa mgongoni huwezi jua ugumu wala umbali wa safari.
Sent using Jamii Forums mobile app