Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Ukiwekewa vikwazo na USA vinafanya kazi 100%. Ukumbuke tuko kwenye ulimwengu wa vita vya kiuchumi na siyo ile ya Vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya ufahari wa silaha yaani unapigana ili uonekane mbabe halafu haupati chochote. China, Russia, Iran na wengine bado watoto sana kwa USA na kusema vikwazo havifanyi kazi huko ni kijifariji tu. USA hapigani vita vya silaha bali vya kiuchumi. Huyo Irani bado mtoto mchanga sana kwa USA pamoja na ndugu zake China, Russia na wengine. Kamuulize Mchina na Huawei yake atakupa majibu mazuri. USA alienda Iran siyo kupigana vita vya silaha bali kwenda kuchukua mafuta kwahiyo alipoona Iran ana silaha za nyuklia akaona siyo kesi. Nirudi nije na mbinu nyingine kwahiyo Iran akaona amemshinda USA. Ha ha ha
Tumia hata akili ya jirani tu
Nchi moja inawawakea vikwazo nchi zingine. Yeye ni nani? ana nguvu gani? Je, ana nguvu kuliko nchi zingine? ana nguvu kuliko UN, AU, EU?
Iran ana silaha kali lakini hanashindwa hata kutengeneza madawa na vifaa vya corona mpaka vinazuiliwa na Marekani halafu unasema umemshinda USA? Ujinga sana. Hizo silaha zake atumie kutibu wananchi wake zidi ya Corona.
Hiyo barua ya nini kwenye meza ya UN? Kesi ya ngedere unampelekea nyani, Mwaarabu hana akili kabisa anazidiwa hata na China,
Hao wachina wataliano na US ambao hawanasilaha kali mbna hawajatengeneza dawa ya Covid-19

Iran inawanyima sana usingizi nandio maana kilaleo mnaiandama kwamavikwazo yakipuuzi

Ila kwa waajemi wala sinashaka najua ipo siku tu mtachemka wenyewe eidha kwakupenda ama kwakutopenda kwani mlipo saini makubaliano yale yamwaka 2015 mlipenda ila mkasaini

Sent using My COVID-19
 
Ukiwekewa vikwazo na USA vinafanya kazi 100%. Ukumbuke tuko kwenye ulimwengu wa vita vya kiuchumi na siyo ile ya Vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya ufahari wa silaha yaani unapigana ili uonekane mbabe halafu haupati chochote. China, Russia, Iran na wengine bado watoto sana kwa USA na kusema vikwazo havifanyi kazi huko ni kijifariji tu. USA hapigani vita vya silaha bali vya kiuchumi. Huyo Irani bado mtoto mchanga sana kwa USA pamoja na ndugu zake China, Russia na wengine. Kamuulize Mchina na Huawei yake atakupa majibu mazuri. USA alienda Iran siyo kupigana vita vya silaha bali kwenda kuchukua mafuta kwahiyo alipoona Iran ana silaha za nyuklia akaona siyo kesi. Nirudi nije na mbinu nyingine kwahiyo Iran akaona amemshinda USA. Ha ha ha
Tumia hata akili ya jirani tu
Nchi moja inawawakea vikwazo nchi zingine. Yeye ni nani? ana nguvu gani? Je, ana nguvu kuliko nchi zingine? ana nguvu kuliko UN, AU, EU?
Iran ana silaha kali lakini hanashindwa hata kutengeneza madawa na vifaa vya corona mpaka vinazuiliwa na Marekani halafu unasema umemshinda USA? Ujinga sana. Hizo silaha zake atumie kutibu wananchi wake zidi ya Corona.
Hiyo barua ya nini kwenye meza ya UN? Kesi ya ngedere unampelekea nyani, Mwaarabu hana akili kabisa anazidiwa hata na China,
Kuwa na missile it doesnt mean utapata kutibu Corona, pia haimaanishi Iran anaomba msaada wa USA, Iran imeomba msaada UN(Umoja wa mataifa).

Unashindwa kuishangaa USA imeshindwa kuipiga NORTH KOREA kwa latest technology zao za military chapu na kila siku wanasema wana njaa na old technology halafu wanawaita kwenye meza ya mazungumzo kwa kuwachekea na kujipendekeza, kwa hio tuseme USA ni weak sivyo?(nikucheke kwanza), unashangaa Iran kutibu Corona ambayo hata China tiba hawana na misaada walipewa.

Vita ya uchumi unayozungumzia itakula kwa USA, endapo ataweka vikwazo kama alivyoweka Iran, naomba we mwenyewe ujiulize kwa nini USA hajaweka vikwazo alivyoweka dhidi ya China kama Iran na Russia? anakuwa ana sita sita, mbona huawei 5G zinafungwa ufarans this year, hutasikia akibwabwaja.USA akimwaga mboga China anamwaga ugali.

Kama unataka kuona USA anatoka road mzima mzima mwambie athubutu,

Kuhusu suala la Huawei, Apple wenyewe walithibitisha kwamba endapo China itaweka vikwazo basi pato lingeshuka kwa 30% na huo ndio utakuwa mwisho wa apple, kwa maana hilo ni gap kubwa sana sana.

China ikistop kampuni za USA china, supermarkets zote marekani zitakuwa empty, then China itashuka kidogo kiuchumi then itakuja kwa kasi kubwa, hapo bidhaa zitakua hazina budi kupanda bei USA tokana na uzalishaji, ujue China inakuwa 2x faster than US economy, So usiwe unasikiliza story za kwenye kahawa na pia fuatilia vitu na sio kusema tu huawei wakati hujui nini kinachoendelea.

So usifikiri USA anaweza kufanya kila kitu ajisikiavyo kama akili zako zikutumavyo.

Kumbuka China cheap labor ila wana elimu kitu ambacho marekani hakipo, hivyo mamia ya kampuni za USA zipo china, ifuatayo ni list fupi ya kampuni baadhi za kimarekani zinazotengeneza product zake nchini China.

AT&T
Abercrombe & Fitch
Abbott Laboratories
Acer Electronics
Ademco Security
Adidas
ADI Security
AGI- American Gem Institute
AIG Financial
Agrilink Foods, Inc. (ProFac)
Allergan Laboratories
American Eagle Outfitters
American Standard
American Tourister
Ames Tools
Amphenol Corporation
Amway Corporation
Analog Devices, Inc.
Apple Computer
Armani
Armour Meats
Ashland Chemical
Ashley Furniture
Associated Grocers
Audi Motors
AudioVox
AutoZone, Inc.
Avon

Banana Republic
Bausch & Lomb, Inc.
Baxter International
Bed, Bath & Beyond
Belkin Electronics
Best Buy
Best Foods
Big 5 Sporting Goods
Black & Decker
Body Shop
Borden Foods
Briggs & Stratton

Calrad Electric
Campbell 's Soup
Canon Electronics
Carole Cable
Casio Instrument
Caterpillar, Inc.
CBC America
CCTV Outlet
Checker Auto
CitiCorp
Cisco Systems
Chiquita Brands International
Claire's Boutique
Cobra Electronics
Coby Electronics
Coca Cola Foods
Colgate-Palmolive
Colorado Spectrum
ConAgra Foods
Cooper Tire
Corning, Inc.
Coleman Sporting Goods
Compaq
Crabtree & Evelyn
Cracker Barrel Stores
Craftsman Tools (see Sears)
Cummins, Inc.

Dannon Foods
Dell Computer
Del Monte Foods
Dewalt Tools
DHL
Dial Corporation
Diebold, Inc.
Dillard's, Inc.
Dodge-Phelps
Dole Foods
Dollar Tree Stores, Inc.
Dow-Corning

Eastman Kodak
EchoStar
Eclipse CCTV
Edge Electronics Group
Electric Vehicles USA, Inc.
Eli Lilly Company
Emerson Electric
Enfamil
Estee Lauder
Eveready

Family Dollar Stores
FedEx
Fisher Scientific
Ford Motors
Fossil
Frito Lay
Furniture Brands International

GAP Stores
Gateway Computer
GE, General Electric
General Foods International
General Mills
General Motors
Gentek
Gerber Foods
Gillette Company
Goodrich Company
Goodyear Tire
Google
Gucci
Guess?

Haagen-Dazs
Harley Davidson
Hasbro Company
Heinz Foods
Hershey Foods
Hitachi
Hoffman-LaRoche
Holt's Automotive Products
Hormel Foods
Home Depot
Honda Motor
Hoover Vacuum
HP Computer
Honda
Honeywell
Hubbell Inc.
Huggies
Hunts-Wesson Foods

ICON Office Solutions
IBM
Ikea
Intel Corporation

J.C. Penny's
J.M. Smucker Company
John Deere
Johnson Control
Johnson & Johnson
Johnstone Supply
JVC Electronics

KB Home
Keebler Foods
Kenwood Audio
KFC, Kentucky Fried Chicken
Kimberly Clark
Knorr Foods
K-Mart
Kohler
Kohl's Corporation
Kraft Foods
Kragen Auto

Land's End
Lee Kum Kee Foods
Lexmark
LG Electronics
Lipton Foods
L.L. Bean, Inc.
Logitech
Libby's Foods
Linen & Things
Lipo Chemicals, Inc.
Lowe's Hardware
Lucent Technologies
Lufkin

Mars Candy
Martha Stewart Products
Mattel
McCormick Foods
McDonald's
McKesson Corporation
Megellan GPS
Memorex
Merck & Company
Michael's Stores
Mitsubishi Electronics
Mitsubishi Motors
Mobile Oil
Molex
Motorola
Motts Applesauce
Multifoods Corporation

Nabisco Foods
National Semiconductor
Nescafe
Nestles Foods
Nextar
Nike
Nikon
Nivea Cosmetics
Nokia Electronics
Northrop Grumman Corporation
NuSkin International
Nutrilite (see Amway)
Nvidia Corporation (G-Force)

Office Depot
Olin Corporation
Old Navy
Olympus Electronics
Orion-Knight Electronics

Pacific Sunwear, Inc.
Pamper's
Panasonic
Pan Pacific Electronics
Panvise
Papa Johns
Payless Shoesource
Pelco
Pentax Optics
Pep Boy's
Pepsico International
PetsMart
Petco
Pfizer, Inc.
Philips Electronics
Phillip Morris Companies
Pier 1 Imports
Pierre Cardin
Pillsbury Company
Pioneer Electronics
Pitney Bowes, Inc.
Pizza Hut
Plantronics
PlaySchool Toys
Polaris Industries
Polaroid
Polo (see Ralph Loren)
Post Cereals
Price-Pfister
Pringles
Praxair
Proctor & Gamble
PSS World Medical
Pyle Audio

Qualcomm
Quest One

Radio Shack
Ralph Loren
RCA
Reebok International
Reynolds Aluminum
Revlon
Rohm & Hass Company

Samsonite
Samsung
Sanyo
Shell Oil
Schwinn Bike
Sears-Craftsman
Seven-Eleven (7-11)
Sharp Electronics
Sherwin-Williams
Shure Electronics
Sony
Speco Technologies/Pro Video
Shopko Stores
Skechers Footwear
SmartHome
Smucker's (see J.M. Smucker's)
Solar Power, Inc.
Spencer Gifts
Stanley Tools
Staple's
Starbucks Corporation
Steelcase, Inc.
STP Oil
Sunkist Growers
SunMaid Raisins
Sunglass Hut
Sunkist
Subway Sandwiches
Switchcraft Electronics
SYSCO Foods
Sylvania Electric

3-M
Tai Pan Trading Company
Tamron Optics
Target
TDK
Tektronix, Inc
Texas Instruments
Timex
Timken Bearing
TNT
Tommy Hilfiger
Toro
Toshiba
Tower Automotive
Toyota
Toy's R Us, Inc.
Trader Joe's
Tripp-lite
True Value Hardware
Tupper Ware
Tyson Foods

Uniden Electronics
UPS

Valspar Corporation
Victoria 's Secret
Vizio Electronics
Volkswagen
VTech

Walgreen Company
Walt Disney Company
Walmart
WD-40 Corporation
Weller Electric Company
Western Digital
Westinghouse Electric
Weyerhaeuser Company
Whirlpool Corporation
Wilson Sporting Goods
Wrigley
WW Grainger, Inc.
Wyeth Laboratories

X-10
Xelite
Xerox

Yahoo
Yamaha
Yoplait Foods
Yum Brands

Zale Corporation
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaelewa maana yamajaribio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona tu watakapoponea kwan be4 walikua wakiponea wap ?!..?..

Sent using My COVID-19
Corona inatibiwa kulingana na dalili za mgonjwa sasa wataidhibiti vipi kama hawatakuwa na chanjo cause America hawezi kuwapa kabisa mtu aliyebarikiwa kabarikiwa tu
 
Mbona Iran haipo kwenye list? Kama yeye hakutoa kwanini alazimishe kusaidiwa?
Wapi Iran imelazimisha kusaidiwa? Unaota? Soma...

Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na Corona pia”

Waite na wenzako mseme ni nani hapo anastahiki msaada?
 
Kuwa na missile it doesnt mean utapata kutibu Corona, pia haimaanishi Iran anaomba msaada wa USA, Iran imeomba msaada UN(Umoja wa mataifa).

Unashindwa kuishangaa USA imeshindwa kuipiga NORTH KOREA kwa latest technology zao za military chapu na kila siku wanasema wana njaa na old technology halafu wanawaita kwenye meza ya mazungumzo kwa kuwachekea na kujipendekeza, kwa hio tuseme USA ni weak sivyo?(nikucheke kwanza), unashangaa Iran kutibu Corona ambayo hata China tiba hawana na misaada walipewa.

Vita ya uchumi unayozungumzia itakula kwa USA, endapo ataweka vikwazo kama alivyoweka Iran, naomba we mwenyewe ujiulize kwa nini USA hajaweka vikwazo alivyoweka dhidi ya China kama Iran na Russia? anakuwa ana sita sita, mbona huawei 5G zinafungwa ufarans this year, hutasikia akibwabwaja.USA akimwaga mboga China anamwaga ugali.

Kama unataka kuona USA anatoka road mzima mzima mwambie athubutu,

Kuhusu suala la Huawei, Apple wenyewe walithibitisha kwamba endapo China itaweka vikwazo basi pato lingeshuka kwa 30% na huo ndio utakuwa mwisho wa apple, kwa maana hilo ni gap kubwa sana sana.

China ikistop kampuni za USA china, supermarkets zote marekani zitakuwa empty, then China itashuka kidogo kiuchumi then itakuja kwa kasi kubwa, hapo bidhaa zitakua hazina budi kupanda bei USA tokana na uzalishaji, ujue China inakuwa 2x faster than US economy, So usiwe unasikiliza story za kwenye kahawa na pia fuatilia vitu na sio kusema tu huawei wakati hujui nini kinachoendelea.

So usifikiri USA anaweza kufanya kila kitu ajisikiavyo kama akili zako zikutumavyo.

Kumbuka China cheap labor ila wana elimu kitu ambacho marekani hakipo, hivyo mamia ya kampuni za USA zipo china, ifuatayo ni list fupi ya kampuni baadhi za kimarekani zinazotengeneza product zake nchini China.

AT&T
Abercrombe & Fitch
Abbott Laboratories
Acer Electronics
Ademco Security
Adidas
ADI Security
AGI- American Gem Institute
AIG Financial
Agrilink Foods, Inc. (ProFac)
Allergan Laboratories
American Eagle Outfitters
American Standard
American Tourister
Ames Tools
Amphenol Corporation
Amway Corporation
Analog Devices, Inc.
Apple Computer
Armani
Armour Meats
Ashland Chemical
Ashley Furniture
Associated Grocers
Audi Motors
AudioVox
AutoZone, Inc.
Avon

Banana Republic
Bausch & Lomb, Inc.
Baxter International
Bed, Bath & Beyond
Belkin Electronics
Best Buy
Best Foods
Big 5 Sporting Goods
Black & Decker
Body Shop
Borden Foods
Briggs & Stratton

Calrad Electric
Campbell 's Soup
Canon Electronics
Carole Cable
Casio Instrument
Caterpillar, Inc.
CBC America
CCTV Outlet
Checker Auto
CitiCorp
Cisco Systems
Chiquita Brands International
Claire's Boutique
Cobra Electronics
Coby Electronics
Coca Cola Foods
Colgate-Palmolive
Colorado Spectrum
ConAgra Foods
Cooper Tire
Corning, Inc.
Coleman Sporting Goods
Compaq
Crabtree & Evelyn
Cracker Barrel Stores
Craftsman Tools (see Sears)
Cummins, Inc.

Dannon Foods
Dell Computer
Del Monte Foods
Dewalt Tools
DHL
Dial Corporation
Diebold, Inc.
Dillard's, Inc.
Dodge-Phelps
Dole Foods
Dollar Tree Stores, Inc.
Dow-Corning

Eastman Kodak
EchoStar
Eclipse CCTV
Edge Electronics Group
Electric Vehicles USA, Inc.
Eli Lilly Company
Emerson Electric
Enfamil
Estee Lauder
Eveready

Family Dollar Stores
FedEx
Fisher Scientific
Ford Motors
Fossil
Frito Lay
Furniture Brands International

GAP Stores
Gateway Computer
GE, General Electric
General Foods International
General Mills
General Motors
Gentek
Gerber Foods
Gillette Company
Goodrich Company
Goodyear Tire
Google
Gucci
Guess?

Haagen-Dazs
Harley Davidson
Hasbro Company
Heinz Foods
Hershey Foods
Hitachi
Hoffman-LaRoche
Holt's Automotive Products
Hormel Foods
Home Depot
Honda Motor
Hoover Vacuum
HP Computer
Honda
Honeywell
Hubbell Inc.
Huggies
Hunts-Wesson Foods

ICON Office Solutions
IBM
Ikea
Intel Corporation

J.C. Penny's
J.M. Smucker Company
John Deere
Johnson Control
Johnson & Johnson
Johnstone Supply
JVC Electronics

KB Home
Keebler Foods
Kenwood Audio
KFC, Kentucky Fried Chicken
Kimberly Clark
Knorr Foods
K-Mart
Kohler
Kohl's Corporation
Kraft Foods
Kragen Auto

Land's End
Lee Kum Kee Foods
Lexmark
LG Electronics
Lipton Foods
L.L. Bean, Inc.
Logitech
Libby's Foods
Linen & Things
Lipo Chemicals, Inc.
Lowe's Hardware
Lucent Technologies
Lufkin

Mars Candy
Martha Stewart Products
Mattel
McCormick Foods
McDonald's
McKesson Corporation
Megellan GPS
Memorex
Merck & Company
Michael's Stores
Mitsubishi Electronics
Mitsubishi Motors
Mobile Oil
Molex
Motorola
Motts Applesauce
Multifoods Corporation

Nabisco Foods
National Semiconductor
Nescafe
Nestles Foods
Nextar
Nike
Nikon
Nivea Cosmetics
Nokia Electronics
Northrop Grumman Corporation
NuSkin International
Nutrilite (see Amway)
Nvidia Corporation (G-Force)

Office Depot
Olin Corporation
Old Navy
Olympus Electronics
Orion-Knight Electronics

Pacific Sunwear, Inc.
Pamper's
Panasonic
Pan Pacific Electronics
Panvise
Papa Johns
Payless Shoesource
Pelco
Pentax Optics
Pep Boy's
Pepsico International
PetsMart
Petco
Pfizer, Inc.
Philips Electronics
Phillip Morris Companies
Pier 1 Imports
Pierre Cardin
Pillsbury Company
Pioneer Electronics
Pitney Bowes, Inc.
Pizza Hut
Plantronics
PlaySchool Toys
Polaris Industries
Polaroid
Polo (see Ralph Loren)
Post Cereals
Price-Pfister
Pringles
Praxair
Proctor & Gamble
PSS World Medical
Pyle Audio

Qualcomm
Quest One

Radio Shack
Ralph Loren
RCA
Reebok International
Reynolds Aluminum
Revlon
Rohm & Hass Company

Samsonite
Samsung
Sanyo
Shell Oil
Schwinn Bike
Sears-Craftsman
Seven-Eleven (7-11)
Sharp Electronics
Sherwin-Williams
Shure Electronics
Sony
Speco Technologies/Pro Video
Shopko Stores
Skechers Footwear
SmartHome
Smucker's (see J.M. Smucker's)
Solar Power, Inc.
Spencer Gifts
Stanley Tools
Staple's
Starbucks Corporation
Steelcase, Inc.
STP Oil
Sunkist Growers
SunMaid Raisins
Sunglass Hut
Sunkist
Subway Sandwiches
Switchcraft Electronics
SYSCO Foods
Sylvania Electric

3-M
Tai Pan Trading Company
Tamron Optics
Target
TDK
Tektronix, Inc
Texas Instruments
Timex
Timken Bearing
TNT
Tommy Hilfiger
Toro
Toshiba
Tower Automotive
Toyota
Toy's R Us, Inc.
Trader Joe's
Tripp-lite
True Value Hardware
Tupper Ware
Tyson Foods

Uniden Electronics
UPS

Valspar Corporation
Victoria 's Secret
Vizio Electronics
Volkswagen
VTech

Walgreen Company
Walt Disney Company
Walmart
WD-40 Corporation
Weller Electric Company
Western Digital
Westinghouse Electric
Weyerhaeuser Company
Whirlpool Corporation
Wilson Sporting Goods
Wrigley
WW Grainger, Inc.
Wyeth Laboratories

X-10
Xelite
Xerox

Yahoo
Yamaha
Yoplait Foods
Yum Brands

Zale Corporation
90% au zaidi ya hiyo list yako ni Wayahudi, waliomsulubu "Mungu" Yesu na waliokoswakoswa kuuliwa na Mkatoliki Hitler. Usisahau hilo.
 
Now here is an interesting conspiracy theory if you want:
Impact of coronavirus on stock exchanges worldwide, within 1 month:

🇺🇸 -26%
🇬🇧 -26%
🇨🇦 -25%
🇧🇷 -27%
🇷🇺 -20%
🇦🇪 -19%
🇿🇦 -16%
🇦🇺 -24%
🇮🇳 -14%
🇸🇬 -17%
🇭🇰 -12%
🇰🇷 - 17%

Now, look at this:

🇨🇳 (China) + 0,3%

China, creator of the pandemic, has miraculously "recovered", has almost no more cases of coronavirus. The world is now beginning to feel the effects and panic about the disease. Who recovered first ?? China itself! It seems to be that this virus was a move by the Chinese government in response to the loss of the trade war with the United States. The goal: to throw the world into recession !!!
Is the scenario not clear? They are already growing! China bought almost everything it devalued on the stock exchanges around the world ... with that the Chinese became owners of the global companies that are in China and without the money leaving China.
 
We hujui unachoongea.
Kichwa Cha habari Ni misleading,
Iran urging UNITED NATION,means UNO sio US to lift ilegal sanction,na hi SI Mara ya kwanza Iran kuimbia UNO kuondoa vikwazo vya marekani.
In case hujui Iran na China wanafanikiwa ku ucontain ugonjwa huo,wakati marekani wanafichwa na hawana vifaa vya kudeal na huu ugonjwa mpaka China imeamua kuisaidia marekani kea kuwapa vipimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona inatibiwa kulingana na dalili za mgonjwa sasa wataidhibiti vipi kama hawatakuwa na chanjo cause America hawezi kuwapa kabisa mtu aliyebarikiwa kabarikiwa tu
Sijui Sasa kabarikiwa virusi ama Nini,maana US Ni moja ya nchi huu ugonjwa unapanda chati Sana,vifo ilikua zero siku nne zilizopita,leo Ni 100.
Majimbo yote 50 yameshaathirika ndani ya siku tatu tu,majeshi yameathirika,waziri wa ulinzi imebidi afichwe Sana,makampuni yanaelekeana kufiriska mpaka yapate boost ya ruzuku,mahoteli,baa zinafungwa,watu wanapoteza kazi,etc,
Sasa ongeza mwezi mmoja mbele Kama dawa haijapatikana tutaongea habari nyingine hapa
 
Kuna habari nimesoma kwamba Iran anaomba mkopo wa dharura wa $5 billion kutoka IMF lakini kuna hofu namashaka kwamba ombi lao lisifanyiwe kazi kutokana na hizi campaign za US against Iran.
Nadhani US wangeshusha tuu silaha zao waache watu wapambane na ugonjwa kwanza kisha ugomvi uendelee.
Wana tatizo na Iran government na sio raia wa iran.
US wana roho mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui Sasa kabarikiwa virusi ama Nini,maana US Ni moja ya nchi huu ugonjwa unapanda chati Sana,vifo ilikua zero siku nne zilizopita,leo Ni 100.
Majimbo yote 50 yameshaathirika ndani ya siku tatu tu,majeshi yameathirika,waziri wa ulinzi imebidi afichwe Sana,makampuni yanaelekeana kufiriska mpaka yapate boost ya ruzuku,mahoteli,baa zinafungwa,watu wanapoteza kazi,etc,
Sasa ongeza mwezi mmoja mbele Kama dawa haijapatikana tutaongea habari nyingine hapa
Usiwe unazungumza habari usizo na uhakika nazo.
Mimi nasoma na kuishi Gertens, Minnesota na sioni hayo uliyoyaandika yakitukia, kilichopo ni makampuni yamezuia wafanyakazi wake kufanyia kazi nyumbani kuna options mbili tu uou either go to work or stay at home and you lose a job!

Foreigners kama mimi wenye studying VISA ubalozi unatusaidia sana kujiepusha na movements maana tunategemea party time jobs ili kukidhi baashi ya mahitaji yetu yasiyo ya lazima kama kunywa lager and smoking!

Lastly unapozungumza majimbo yote 50 my friend you're talking about a very very big country, Americans don't give a sh*t hawapanic hawaendeshwi na rumors hata tv's hawaangalii nimekuja na mauraibu yangu ya kuangalia Tv na kufatilia habari za middle east nikajiona mshamba sana baada ya kuona wanavyoishi wenyeji
 
Wewe mbantu/mgalatia unaeabudu sanamu badala ya Mungu aliekuumba,,,nielewe! Cc 2taendelea kuwapenda waarabu, kuwaheshimu na kuwathamini maana hata mitume wametokea huko middle east, Mtume wetu Muhammad rehma na amani za Allah ziwe juu yake alikuwa ni mwarabu, na wala hakuwa mzungu, mwafrika ama mchina n.k,,na huko ndiko uislamu ulipoanzia. Wewe endelea kuwapamba hao makafiri wanaokutambua SOKWE, MZINZI, USIEPENDA KAZI,,wakati waarabu hawakuwahi na hawatathubutu kutuita hayo majina, ni watu wastaarabu,wenye heshima zao na wakarimu kuliko taifa lolote duniani. Na uislamu ndio una2taka tuwe hivyo.

Sawa mgalatia! Endelea kuteseka tu 😁😁
Mwarabu? Waafrika waliowapeleka utumwani uzao wao uko wapi? Wewe pagazi wao waliishakutupia majini hakuna unachoweza kuona.
 
Mwarabu? Waafrika waliowapeleka utumwani uzao wao uko wapi? Wewe pagazi wao waliishakutupia majini hakuna unachoweza kuona.

Habari ndio iyo mkuu. Nyie endeleeni kuwachukia ila cc 2nawapenda na kuwaheshimu maana wame2letea vi2 vingi vyenye faida kubwa kwe2 ikiwemo uislamu, amani, ustaarabu n.k.

Mzungu kawaletea magonjwa tu lengo lake kuwapunguza kidogo kidogo,,haikutosha ebola, HIV na sasa Corona. Munatabu jombaa 😁😁
 
Itakuwa waliuawa maana miarabu ni mijitu ya kishenzi sana yani mibinafsi sana aisee. Nilikulaga kitoto chao kimoja yani huwezi amini hii mijitu ilivyonisaka iniuwe kisa mimi ni mtu mweusi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro fuatilia historia ya utumwa ulaya na marekani, uone mtu mweusi vyenye alikuwa aking'olewa meno kwa spana, mpaka leo hii unaona imekuwa hivi, watu weusi walipambana sana na damu imemwagika mno, tumekuwa watumwa kwa miaka 400, mzungu hadi hii miaka ya 60 hapo marekani kulikuwa na ubaguzi mkubwa sana, kwa hio kesi ya ubaguzi ni mtu mwenyewe.

Christian Europeans wameua waafrika zaidi ya 60 million, can u explain? mzungu anatumia kila njia kujisafisha lakini walitunyanyasa sana na kutuua kuliko arabs au race yeyote.

. Persians are not arabs, Iran sio waarabu

Kuna 3% ya waarabu Iran yote, Iran ukiangalia wanawake wana kipaumbele kikubwa katika elimu, vyeo n.k, pia wanaheshimika tofauti na Saudi wanawake hata gari walikuwa hawaendeshi, sijajua sasa hivi.
hio ni toka zamani 500 B.C wakati wana empire kubwa wakiongoza dunia.

58 percent ya Iranians speak Persian or a Persian dialect
26 percent speak Turkic na Turkic dialects
9 percent speak Kurdish
8 percent Luri, Balochi, Arabic, Turkish na other languages

Dola ya kiislamu ilikuwa ikitawala ndio ilipelekea hata Egypt kuongea kiarabu, lakini Iran inajivuna mpaka leo kwa kupambania lugha yake na utamaduni wake.
 
Mwarabu? Waafrika waliowapeleka utumwani uzao wao uko wapi? Wewe pagazi wao waliishakutupia majini hakuna unachoweza kuona.
Christian Europens ndio walioua waafrika wengi zaidi wameua more then 60 million, tazama documentaries na soma vitabu, watu weusi wameishi kwa shida sana, wazungu wamebaka sana wanawake wa ki afica, mpaka leo hii tazama jamii za watu weusi marekani zinaonekana ni wakorofi na wahalifu lakini hizo ni athari za ubaguzi na unyanyasaji, walinyanyaswa mpaka ikapelekea jamii zao zijihami, ukitembea kwenye hood bunduki ni nje nje.

Wengi mnapotoshwa japo waarabu pia walifanya slave trade, lakini mzungu ana akili sana nasema tena ana akili sana ndio maana kabadili historia na kila kitu na kukulisha tango pori.

Kwa nini Mohamed ali alibadili jina toka Cassius Marcellus Clay Jr. na kuwa Mohammed Ali? Kwa nini Malcom alifuta jina la mwisho na kujiita X?

Kaka soma vitabu vitakusaidia sana, watu weupe wapo kwa ajili ya maslahi yao.
 
Back
Top Bottom