Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Mashia wa tandahimba watasema wanatengeneza ya kwao, wakati mashia wa tehran wakiomba vikwazo vilegezwe angalau waruhusiwe kuingiza madawa na vifaa tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka wao wenyewe waajemi waishatangaza baada ya wiki mbili dawa zitakua zinapatikana maduka yadawa kama panadol sisi ninani mpaka tupingane nao[emoji23][emoji23][emoji23]

nanyie tengenezeni dawa zenu ama mpaka muekewe masharti yakuoana ndoa zajinsia moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Wewe wa kwa mfuga mbwa na Mohammad Javad Zarif wa Tehran tena serikalini tumwamini nani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli huwa naumia mno kuhusu vikwazo vya US pale Iran, eeh Mungu kuwa pamoja na Waja wako (Waajemi), Ameeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm hua nawanukuu tu maneno yao kama mtaweka vikwazo namkataka kuvitoa kwamasharaiti basi endeleeni kuvieka tu mielle amina

ila kama mtaviondoa bila masharti sawa

Sent using My COVID-19
Vikwazo vishawekwa na masharti ya kuondoa vikwazo Iran anayajua, sasa kelele ya nini tena! Si ashaamua hawezi kufuata hayo masharti basi atulie aache kusumbua umoja wa mataifa una kazi nyingi za kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli huwa naumia mno kuhusu vikwazo vya US pale Iran, eeh Mungu kuwa pamoja na Waja wako (Waajemi), Ameeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
@Bwana Utam yeye kwake suala la kupigia unazi JF, Ni sawa na wale walikuwa wanapiga unazi ubishi wa Mgabe wakati inakula kwa wazimbabwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vikwazo vishawekwa na masharti ya kuondoa vikwazo Iran anayajua, sasa kelele ya nini tena! Si ashaamua hawezi kufuata hayo masharti basi atulie aache kusumbua umoja wa mataifa una kazi nyingi za kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa nchi yako haina vikwazo inapokea mabilioni ya misaada lakini mpaka sasa ina maabara moja tu ya kupima Corona eti hiyo maabara ndio inategemewa ihudumie watu million 50 alafu unakuja kuandika uharo wa kuiponda nchi kama Iran.
Huyo marekani ingekuwa inaweza kila kitu Trump angekuwa anahaha kuwanunua wana sayansi wa kijerumani ili wamsaidie kutengeneza dawa kwa ajili ya nchi yake?
Italia si mbwa wa marekani kila anacho ambiwa na marekani sianatekeleza? Vip unaona jinsi wanavyo kufa kama mende? Mbona marekani haendi kuzuia watu wasife.
 
We unaongea upuuzi gani? Hakuna sehemu Iran inaomba msaada toka US, USA mwenyewe kwenye kimbunga cha katrina alipewa msaada na nchi nyingi sana,
Mexico ilituma wanajeshi kwenye uokoaji, gari za uokoaji chakula na maji, walipeleka mpaka majiko yanayoweza kulisha watu zaidi ya 8000 pia mifumo ya kutibu maji n.k.

Kuwait, Qatar na United Arab Emirates walituma kiwango kikubwa sana cha pesa. Canada walituma meli za kijeshi, helicopters na waokoaji zaidi ya 1000.

Umoja wa ulaya walituma satellites, n.k. hata hao ambao ni maadui ilibidi wampe msaada ikiwemo Venezuela kutoa $5M, Cuba na Pakistan, linapokuja janga kama hilo hakuna mbabe.New Orleans ilijaa mafuriko karibu 80% ya mji ulikuwa ni mto.

Kuwait walituma mafuta yenye thamani ya $400M na $100M cash, kwa sababu kimbunga kiliharibu mabomba ya mafuta.

Katrina iliua watu zaidi ya 1200, na damage ya mali na miundombinu yenye thamani ya $125 Billion.Hapo US iliomba po yenyewe.

Achilia mbali Katrina, 9/11 US walipata msaada mkubwa sana toka nchi mbali mbali pia

list za nchi zilizoisadia US kwenye kimbunga cha katrina.

  • Afghanistan: $100,000
  • Albania: $300,000 pledged
  • Armenia: $200,000 pledged
  • Australia: $7.6 million
  • Austria: tarps, camp beds
  • Azerbaijan: $500,000
  • Bahamas: $50,000 pledged
  • Bahrain: $5 million pledged
  • Bangladesh: $1 million pledged
  • Belgium: operations teams, generators, water pumps, nine-member logistical team to work with the Red Cross
  • Bosnia/Herzegovina: $6,414 pledged
  • Cambodia: $20,000 pledged
  • Canada: $5 million pledged to the hurricane relief fund headed by former Presidents George H.W. Bush and Bill Clinton, two Griffin helicopters, search and rescue teams, Air Canada evacuation flights, supplies, security team, three Canadian forces ships with three Sea King helicopters
  • China: $5.1 million, 1,000 tents, 600 generators, bed sheets
  • Cyprus: $50,000
  • Djibouti: $50,000 pledged
  • Equatorial Guinea: $500,000 pledged
  • Eupropean Commission: Civil Protection Cooperative Mechanism activated
  • France: 600 tents, supplies
  • Gabon: $500,000 pledged
  • Georgia: $50,000
  • Germany: high-speed pumps, supplies
  • Greece: two cruise ships
  • Hungary: $5,000
  • Iceland: $500,000 pledged to the Bush-Clinton Katrina Fund
  • International Committee of the Red Cross: Web-based tracking system for displaced people
  • India: $5 million; 3,000 each of personal-hygiene kits, blankets and sheets; 150 tarps
  • Iraq: $1 million pledged to the Red Cross via the Red Crescent
  • Ireland: $1 million euro (about $1.24 million U.S.)
  • Italy: generators, water pumps and purifiers, tents, supplies
  • Japan: $200,000, $844,000 in supplies and private pledges of more than $1 million
  • Kenya: $100,000
  • Kuwait: $100 million plus an additional $400 million in oil products
  • Malaysia: $1 million to the Red Cross
  • Maldives: $25,000 to the Red Cross
  • Mauritania: $200,000 from the American Mauritania Business Council to the Red Cross
  • Mexico: 45 truckloads of supplies, transport vehicles, two field kitchens, two helicopters
  • Mongolia: $50,000 pledged
  • Morocco: $500,000 pledged
  • Nepal: $25,000 pledged
  • Netherlands: Levee inspection team to assist Army Corps of Engineers, water pumps, frigate
  • New Zealand: $1.4 million to the Red Cross
  • Nigeria: $1 million pledged
  • Norway: $1.54 million in cash and supplies
  • Oman: $15 million
  • Organization of American States: $25,000, created fund for donations from member states to the International Committee of the Red Cross
  • Pakistan: $1 million pledged to the Red Cross, supplies
  • Palau: $50,000 pledged plus $50,000 donor drive
  • Papua New Guinea: $10,000 to the Red Cross
  • Qatar: $100 million pledged
  • Republic of Korea: $30 million, supplies
  • Russia: air transport, generators, tents, blankets, water, water pumps, supplies
  • Sao Tome and Principe: $18,000 pledged
  • Saudi Arabia: $5 million from Aramco, $250,000 from AGFUND
  • Singapore: four helicopters
  • Spain: relief supplies
  • Sri Lanka: $25,000 to the Red Cross
  • Sweden: telecommunications equipment
  • Taiwan: $2 million, supplies
  • Thailand: blankets, supplies
  • United Arab Emirates: $100 million pledged
  • Uganda: $200,000 pledged
  • United Kingdom: relief supplies
  • Venezuela: up to $1 million to the Red Cross and state governments
  • Vietnam: $100,000 to victims
  • Yemen: $100,000 to the Red Cross
 
Unajadili kuhusu nini bwana mdogo? Ebu nieleze ili twende sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na uliposoma hilo la kuomba "poo" ni wapi? Au unaota?

Ooh umemaanisha hijab kama ya mama yake Yesu? Ma Shaa Allah, hakika Waislam utawajua tu, hawajifichi.

Labda unachoshindwa kuelewa ni kuwa US inaelekezwa kibla na inakuwa taifa lenye Waislam wengi haraka sana. Hivi huelewi kuwa Makanisa huko US yanageuzwa misikiti? Na kujidai "makafiri" ni kutafuta pakutokea kwani hao wazungu wanakuita wewe mtu mweusi kafir. Au huelewi Hilo? Soma kijana.

Hapo sasa!
Sawa Bi.Faiza ila huo ndio ukweli...Iran wanaomba UN ilegeze vikwazo na nijuavyo Mimi Kinara wa vikwazo Ni Marekani...na Marekani na UN Ni sawa na Mwarabu na Kanzu lake!
 
Nafahamu kuwa Kingereza ni matatizo kwa wengi sana Tanzania, kumbe hata wewe ni walewale!

Uliousema "huo ndio ukweli" ni upi huo? Maana nimepitia vyanzo post namba moja ambavyo vipo Kwa Kingereza sijaona Hilo la Iran "kuwaomba UN" wewe umelitowa wapi? Au kichwani kwako tu?

Kuhusu gilo la "Mwarabu na Kanzu lake" ni Sawa kabisa, Ma Shaa Allah, ni kama vile Papa na makadinali na maksisi na mapadri wa Makanisa your makubwa duniani na mikanxu Yao, Wu sio. Hata picha za Yesu nimeona na yeye na kanzu lake.

Tatizo la kanzu nini?
 
Hayo unayoandika ndiyo yamefanya Marekani kuwa ni taifa kubwa siku zote. Marekani anachoangalia, wewe una nini cha kuweza kuisaidia USA? Nchi za ulaya na Marekani zimeendelea kwasbabu zimewekeza fedha kwa ajili ya nguvu kazi ili isaidie kiuchumi, kisiasa n.k nchi zao. Mbwana Samata anacheza mpira uingereza lakini ukitumia macho 3 anaisaidia Uingereza kiuchumi.
Hao wanasayansi wanaonunuliwa na Trump ukiwa na akili ndogo unaweza kufikiri Trump ana haha kumbe wewe ndiyo una haha. Hao wanasayansi wakikaa maabara wanatoa kitu cha kisayansi cha ukweli ambacho kitaisaidia Marekani iwe juu kila siku na ukumbuke Marekani fedha kwao siyo tatizo. Obama mwenyewe asili yake Kenya na ameshawahi kuwa Raisi wa Marekani. Iran inawezekana hii?
Timu ya taifa ya Ufarasana ina wachezaji wengi ambao asili yao ni Afrika. Wanaposhinda na kukabidhiwa kombe la dunia. Utasema wameshinda Wafrika au Ufaransa?
Huyo marekani ingekuwa inaweza kila kitu Trump angekuwa anahaha kuwanunua wana sayansi wa kijerumani ili wamsaidie kutengeneza dawa kwa ajili ya nchi yake?
 
Mbona Iran haipo kwenye list? Kama yeye hakutoa kwanini alazimishe kusaidiwa?
We unaongea upuuzi gani? Hakuna sehemu Iran inaomba msaada toka US, USA mwenyewe kwenye kimbunga cha katrina alipewa msaada na nchi nyingi sana,
Mexico ilituma wanajeshi kwenye uokoaji, gari za uokoaji chakula na maji, walipeleka mpaka majiko yanayoweza kulisha watu zaidi ya 8000 pia mifumo ya kutibu maji n.k.

Kuwait, Qatar na United Arab Emirates walituma kiwango kikubwa sana cha pesa. Canada walituma meli za kijeshi, helicopters na waokoaji zaidi ya 1000.

Umoja wa ulaya walituma satellites, n.k. hata hao ambao ni maadui ilibidi wampe msaada ikiwemo Venezuela kutoa $5M, Cuba na Pakistan, linapokuja janga kama hilo hakuna mbabe.New Orleans ilijaa mafuriko karibu 80% ya mji ulikuwa ni mto.

Kuwait walituma mafuta yenye thamani ya $400M na $100M cash, kwa sababu kimbunga kiliharibu mabomba ya mafuta.

Katrina iliua watu zaidi ya 1200, na damage ya mali na miundombinu yenye thamani ya $125 Billion.Hapo US iliomba po yenyewe.

Achilia mbali Katrina, 9/11 US walipata msaada mkubwa sana toka nchi mbali mbali pia

list za nchi zilizoisadia US kwenye kimbunga cha katrina.

  • Afghanistan: $100,000
  • Albania: $300,000 pledged
  • Armenia: $200,000 pledged
  • Australia: $7.6 million
  • Austria: tarps, camp beds
  • Azerbaijan: $500,000
  • Bahamas: $50,000 pledged
  • Bahrain: $5 million pledged
  • Bangladesh: $1 million pledged
  • Belgium: operations teams, generators, water pumps, nine-member logistical team to work with the Red Cross
  • Bosnia/Herzegovina: $6,414 pledged
  • Cambodia: $20,000 pledged
  • Canada: $5 million pledged to the hurricane relief fund headed by former Presidents George H.W. Bush and Bill Clinton, two Griffin helicopters, search and rescue teams, Air Canada evacuation flights, supplies, security team, three Canadian forces ships with three Sea King helicopters
  • China: $5.1 million, 1,000 tents, 600 generators, bed sheets
  • Cyprus: $50,000
  • Djibouti: $50,000 pledged
  • Equatorial Guinea: $500,000 pledged
  • Eupropean Commission: Civil Protection Cooperative Mechanism activated
  • France: 600 tents, supplies
  • Gabon: $500,000 pledged
  • Georgia: $50,000
  • Germany: high-speed pumps, supplies
  • Greece: two cruise ships
  • Hungary: $5,000
  • Iceland: $500,000 pledged to the Bush-Clinton Katrina Fund
  • International Committee of the Red Cross: Web-based tracking system for displaced people
  • India: $5 million; 3,000 each of personal-hygiene kits, blankets and sheets; 150 tarps
  • Iraq: $1 million pledged to the Red Cross via the Red Crescent
  • Ireland: $1 million euro (about $1.24 million U.S.)
  • Italy: generators, water pumps and purifiers, tents, supplies
  • Japan: $200,000, $844,000 in supplies and private pledges of more than $1 million
  • Kenya: $100,000
  • Kuwait: $100 million plus an additional $400 million in oil products
  • Malaysia: $1 million to the Red Cross
  • Maldives: $25,000 to the Red Cross
  • Mauritania: $200,000 from the American Mauritania Business Council to the Red Cross
  • Mexico: 45 truckloads of supplies, transport vehicles, two field kitchens, two helicopters
  • Mongolia: $50,000 pledged
  • Morocco: $500,000 pledged
  • Nepal: $25,000 pledged
  • Netherlands: Levee inspection team to assist Army Corps of Engineers, water pumps, frigate
  • New Zealand: $1.4 million to the Red Cross
  • Nigeria: $1 million pledged
  • Norway: $1.54 million in cash and supplies
  • Oman: $15 million
  • Organization of American States: $25,000, created fund for donations from member states to the International Committee of the Red Cross
  • Pakistan: $1 million pledged to the Red Cross, supplies
  • Palau: $50,000 pledged plus $50,000 donor drive
  • Papua New Guinea: $10,000 to the Red Cross
  • Qatar: $100 million pledged
  • Republic of Korea: $30 million, supplies
  • Russia: air transport, generators, tents, blankets, water, water pumps, supplies
  • Sao Tome and Principe: $18,000 pledged
  • Saudi Arabia: $5 million from Aramco, $250,000 from AGFUND
  • Singapore: four helicopters
  • Spain: relief supplies
  • Sri Lanka: $25,000 to the Red Cross
  • Sweden: telecommunications equipment
  • Taiwan: $2 million, supplies
  • Thailand: blankets, supplies
  • United Arab Emirates: $100 million pledged
  • Uganda: $200,000 pledged
  • United Kingdom: relief supplies
  • Venezuela: up to $1 million to the Red Cross and state governments
  • Vietnam: $100,000 to victims
  • Yemen: $100,000 to the Red Cross
 
Vikwazo vishawekwa na masharti ya kuondoa vikwazo Iran anayajua, sasa kelele ya nini tena! Si ashaamua hawezi kufuata hayo masharti basi atulie aache kusumbua umoja wa mataifa una kazi nyingi za kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama angekua anaogopa vikwazo namasharti yapowazi angelikua kaishayafata ila anaona wapuuzi tuuu

Sent using My COVID-19
 
Analia lia kwa UN. Haujui kuwa UN na IMF zipo chini USA? Nchi moja inamwekea vikwazo nchi nyingine na vinafanya kazi wakati kuna UN, AU na EU. Mpaka hapo huwezi kujua hiyo nchi moja ina nguvu gani kushinda UN, AU, IMF na EU? Tumia hata akilli ya jirani itakusaidia sana.
Kamlazmisha nani ?!

US ana maslahi yake na nchi zingine za ulaya zina maslahi yao, ndio maana kwenye vikwazo juu ya iran kumekuwa na mvutano kati ya Trump na ulaya, nchi za ulaya zimekuwa zikipinga vikwazo zaidi juu ya Iran, EU ipo kati.

Iran ni member wa UN toka 1945, sasa kuomba msaada hajaomba US kuna members ambao wa UN ambao watapeleka msaada, na usifikiri Iran ilitegemea msaada toka US, Original member wa UN ni Republic of China, France, the Soviet Union, the United Kingdom na United States .

Sanctions mpaka sasa hazifanyi kazi kwa China,Russia,NK na nchi zingine nyingi tu, kama hujui Iran itapata msaada mkubwa tu, US ana maadui wengi,

Kumbuka Trump atakuwa amerogwa atakaposema atakayeisadia Iran kwenye janga la Corona awekewe vikwazo, atakuwa mjinga na dunia italaani vikali,
 
Ukiwekewa vikwazo na USA vinafanya kazi 100%. Ukumbuke tuko kwenye ulimwengu wa vita vya kiuchumi na siyo ile ya Vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya ufahari wa silaha yaani unapigana ili uonekane mbabe halafu haupati chochote. China, Russia, Iran na wengine bado watoto sana kwa USA na kusema vikwazo havifanyi kazi huko ni kijifariji tu. USA hapigani vita vya silaha bali vya kiuchumi. Huyo Irani bado mtoto mchanga sana kwa USA pamoja na ndugu zake China, Russia na wengine. Kamuulize Mchina na Huawei yake atakupa majibu mazuri. USA alienda Iran siyo kupigana vita vya silaha bali kwenda kuchukua mafuta kwahiyo alipoona Iran ana silaha za nyuklia akaona siyo kesi. Nirudi nije na mbinu nyingine kwahiyo Iran akaona amemshinda USA. Ha ha ha
Tumia hata akili ya jirani tu
Nchi moja inawawakea vikwazo nchi zingine. Yeye ni nani? ana nguvu gani? Je, ana nguvu kuliko nchi zingine? ana nguvu kuliko UN, AU, EU?
Iran ana silaha kali lakini hanashindwa hata kutengeneza madawa na vifaa vya corona mpaka vinazuiliwa na Marekani halafu unasema umemshinda USA? Ujinga sana. Hizo silaha zake atumie kutibu wananchi wake zidi ya Corona.
Hiyo barua ya nini kwenye meza ya UN? Kesi ya ngedere unampelekea nyani, Mwaarabu hana akili kabisa anazidiwa hata na China,

Back
Top Bottom