Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

Kwanza sio jamhuri yawatu wa IRAN ni JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN

vikwazo vya US hakuna nawala sijawahi kupinga kama havina athari kwa waajemi nanimiongoni mwa mpingaji mkubwa sana waunyanyasaji huo maana naelewa kwa 99% unawatesa zaidi raia wakawaida kuliko viongozi na matajiri wengineila ishu nikwamba hv sio vikwazo vyakwanza vyawa US Dhidi Ya Jamhuri Ya Kiislam Nawala Havitakua Vyamwisho ikumbukwe yakwamba IRAN Wamezuiwa Kuingiza mpaka madawa koz yavikwazo vya Us

Mwisho kabisa vikwazo vyao wakiviondoa bila masharti yakipumbavu sawa waviondoe ila kama watataka wawaondolee watu vikwazo halafu wawaekee masharti yakijinga bora viendelee tu mojaya sharti lakipuuzi ambalo haliwezi kukubalika ni IRAN Kuachana na Mpango wao wa NYUKLIA.....

Sent using My COVID-19
Nyukila ni za nn? Tuna tishio la viumbe kutoka sayari nyingine kuvamia dunia? Kuwe na utaratibu wa kutengeneza hizi silaha.
 
MKUU UMEMALIZA MJADALA, HAWA WAMAREKANI WEUSI FEKI NAOMBA WAPITIE HII COMMENT YAKO
We unaongea upuuzi gani? Hakuna sehemu Iran inaomba msaada toka US, USA mwenyewe kwenye kimbunga cha katrina alipewa msaada na nchi nyingi sana,
Mexico ilituma wanajeshi kwenye uokoaji, gari za uokoaji chakula na maji, walipeleka mpaka majiko yanayoweza kulisha watu zaidi ya 8000 pia mifumo ya kutibu maji n.k.

Kuwait, Qatar na United Arab Emirates walituma kiwango kikubwa sana cha pesa. Canada walituma meli za kijeshi, helicopters na waokoaji zaidi ya 1000.

Umoja wa ulaya walituma satellites, n.k. hata hao ambao ni maadui ilibidi wampe msaada ikiwemo Venezuela kutoa $5M, Cuba na Pakistan, linapokuja janga kama hilo hakuna mbabe.New Orleans ilijaa mafuriko karibu 80% ya mji ulikuwa ni mto.

Kuwait walituma mafuta yenye thamani ya $400M na $100M cash, kwa sababu kimbunga kiliharibu mabomba ya mafuta.

Katrina iliua watu zaidi ya 1200, na damage ya mali na miundombinu yenye thamani ya $125 Billion.Hapo US iliomba po yenyewe.


Achilia mbali Katrina, 9/11 US walipata msaada mkubwa sana toka nchi mbali mbali pia

list za nchi zilizoisadia US kwenye kimbunga cha katrina.

  • Afghanistan: $100,000
  • Albania: $300,000 pledged
  • Armenia: $200,000 pledged
  • Australia: $7.6 million
  • Austria: tarps, camp beds
  • Azerbaijan: $500,000
  • Bahamas: $50,000 pledged
  • Bahrain: $5 million pledged
  • Bangladesh: $1 million pledged
  • Belgium: operations teams, generators, water pumps, nine-member logistical team to work with the Red Cross
  • Bosnia/Herzegovina: $6,414 pledged
  • Cambodia: $20,000 pledged
  • Canada: $5 million pledged to the hurricane relief fund headed by former Presidents George H.W. Bush and Bill Clinton, two Griffin helicopters, search and rescue teams, Air Canada evacuation flights, supplies, security team, three Canadian forces ships with three Sea King helicopters
  • China: $5.1 million, 1,000 tents, 600 generators, bed sheets
  • Cyprus: $50,000
  • Djibouti: $50,000 pledged
  • Equatorial Guinea: $500,000 pledged
  • Eupropean Commission: Civil Protection Cooperative Mechanism activated
  • France: 600 tents, supplies
  • Gabon: $500,000 pledged
  • Georgia: $50,000
  • Germany: high-speed pumps, supplies
  • Greece: two cruise ships
  • Hungary: $5,000
  • Iceland: $500,000 pledged to the Bush-Clinton Katrina Fund
  • International Committee of the Red Cross: Web-based tracking system for displaced people
  • India: $5 million; 3,000 each of personal-hygiene kits, blankets and sheets; 150 tarps
  • Iraq: $1 million pledged to the Red Cross via the Red Crescent
  • Ireland: $1 million euro (about $1.24 million U.S.)
  • Italy: generators, water pumps and purifiers, tents, supplies
  • Japan: $200,000, $844,000 in supplies and private pledges of more than $1 million
  • Kenya: $100,000
  • Kuwait: $100 million plus an additional $400 million in oil products
  • Malaysia: $1 million to the Red Cross
  • Maldives: $25,000 to the Red Cross
  • Mauritania: $200,000 from the American Mauritania Business Council to the Red Cross
  • Mexico: 45 truckloads of supplies, transport vehicles, two field kitchens, two helicopters
  • Mongolia: $50,000 pledged
  • Morocco: $500,000 pledged
  • Nepal: $25,000 pledged
  • Netherlands: Levee inspection team to assist Army Corps of Engineers, water pumps, frigate
  • New Zealand: $1.4 million to the Red Cross
  • Nigeria: $1 million pledged
  • Norway: $1.54 million in cash and supplies
  • Oman: $15 million
  • Organization of American States: $25,000, created fund for donations from member states to the International Committee of the Red Cross
  • Pakistan: $1 million pledged to the Red Cross, supplies
  • Palau: $50,000 pledged plus $50,000 donor drive
  • Papua New Guinea: $10,000 to the Red Cross
  • Qatar: $100 million pledged
  • Republic of Korea: $30 million, supplies
  • Russia: air transport, generators, tents, blankets, water, water pumps, supplies
  • Sao Tome and Principe: $18,000 pledged
  • Saudi Arabia: $5 million from Aramco, $250,000 from AGFUND
  • Singapore: four helicopters
  • Spain: relief supplies
  • Sri Lanka: $25,000 to the Red Cross
  • Sweden: telecommunications equipment
  • Taiwan: $2 million, supplies
  • Thailand: blankets, supplies
  • United Arab Emirates: $100 million pledged
  • Uganda: $200,000 pledged
  • United Kingdom: relief supplies
  • Venezuela: up to $1 million to the Red Cross and state governments
  • Vietnam: $100,000 to victims
  • Yemen: $100,000 to the Red Cross

Always trust yr self.
 
Kuwa na missile it doesnt mean utapata kutibu Corona, pia haimaanishi Iran anaomba msaada wa USA, Iran imeomba msaada UN(Umoja wa mataifa).

Unashindwa kuishangaa USA imeshindwa kuipiga NORTH KOREA kwa latest technology zao za military chapu na kila siku wanasema wana njaa na old technology halafu wanawaita kwenye meza ya mazungumzo kwa kuwachekea na kujipendekeza, kwa hio tuseme USA ni weak sivyo?(nikucheke kwanza), unashangaa Iran kutibu Corona ambayo hata China tiba hawana na misaada walipewa.


Vita ya uchumi unayozungumzia itakula kwa USA, endapo ataweka vikwazo kama alivyoweka Iran, naomba we mwenyewe ujiulize kwa nini USA hajaweka vikwazo alivyoweka dhidi ya China kama Iran na Russia? anakuwa ana sita sita, mbona huawei 5G zinafungwa ufarans this year, hutasikia akibwabwaja.USA akimwaga mboga China anamwaga ugali.

Kama unataka kuona USA anatoka road mzima mzima mwambie athubutu,

Kuhusu suala la Huawei, Apple wenyewe walithibitisha kwamba endapo China itaweka vikwazo basi pato lingeshuka kwa 30% na huo ndio utakuwa mwisho wa apple, kwa maana hilo ni gap kubwa sana sana.

China ikistop kampuni za USA china, supermarkets zote marekani zitakuwa empty, then China itashuka kidogo kiuchumi then itakuja kwa kasi kubwa, hapo bidhaa zitakua hazina budi kupanda bei USA tokana na uzalishaji, ujue China inakuwa 2x faster than US economy, So usiwe unasikiliza story za kwenye kahawa na pia fuatilia vitu na sio kusema tu huawei wakati hujui nini kinachoendelea.

So usifikiri USA anaweza kufanya kila kitu ajisikiavyo kama akili zako zikutumavyo.

Kumbuka China cheap labor ila wana elimu kitu ambacho marekani hakipo, hivyo mamia ya kampuni za USA zipo china, ifuatayo ni list fupi ya kampuni baadhi za kimarekani zinazotengeneza product zake nchini China.



AT&T
Abercrombe & Fitch
Abbott Laboratories
Acer Electronics
Ademco Security
Adidas
ADI Security
AGI- American Gem Institute
AIG Financial
Agrilink Foods, Inc. (ProFac)
Allergan Laboratories
American Eagle Outfitters
American Standard
American Tourister
Ames Tools
Amphenol Corporation
Amway Corporation
Analog Devices, Inc.
Apple Computer
Armani
Armour Meats
Ashland Chemical
Ashley Furniture
Associated Grocers
Audi Motors
AudioVox
AutoZone, Inc.
Avon

Banana Republic
Bausch & Lomb, Inc.
Baxter International
Bed, Bath & Beyond
Belkin Electronics
Best Buy
Best Foods
Big 5 Sporting Goods
Black & Decker
Body Shop
Borden Foods
Briggs & Stratton

Calrad Electric
Campbell 's Soup
Canon Electronics
Carole Cable
Casio Instrument
Caterpillar, Inc.
CBC America
CCTV Outlet
Checker Auto
CitiCorp
Cisco Systems
Chiquita Brands International
Claire's Boutique
Cobra Electronics
Coby Electronics
Coca Cola Foods
Colgate-Palmolive
Colorado Spectrum
ConAgra Foods
Cooper Tire
Corning, Inc.
Coleman Sporting Goods
Compaq
Crabtree & Evelyn
Cracker Barrel Stores
Craftsman Tools (see Sears)
Cummins, Inc.

Dannon Foods
Dell Computer
Del Monte Foods
Dewalt Tools
DHL
Dial Corporation
Diebold, Inc.
Dillard's, Inc.
Dodge-Phelps
Dole Foods
Dollar Tree Stores, Inc.
Dow-Corning

Eastman Kodak
EchoStar
Eclipse CCTV
Edge Electronics Group
Electric Vehicles USA, Inc.
Eli Lilly Company
Emerson Electric
Enfamil
Estee Lauder
Eveready

Family Dollar Stores
FedEx
Fisher Scientific
Ford Motors
Fossil
Frito Lay
Furniture Brands International

GAP Stores
Gateway Computer
GE, General Electric
General Foods International
General Mills
General Motors
Gentek
Gerber Foods
Gillette Company
Goodrich Company
Goodyear Tire
Google
Gucci
Guess?

Haagen-Dazs
Harley Davidson
Hasbro Company
Heinz Foods
Hershey Foods
Hitachi
Hoffman-LaRoche
Holt's Automotive Products
Hormel Foods
Home Depot
Honda Motor
Hoover Vacuum
HP Computer
Honda
Honeywell
Hubbell Inc.
Huggies
Hunts-Wesson Foods

ICON Office Solutions
IBM
Ikea
Intel Corporation

J.C. Penny's
J.M. Smucker Company
John Deere
Johnson Control
Johnson & Johnson
Johnstone Supply
JVC Electronics

KB Home
Keebler Foods
Kenwood Audio
KFC, Kentucky Fried Chicken
Kimberly Clark
Knorr Foods
K-Mart
Kohler
Kohl's Corporation
Kraft Foods
Kragen Auto

Land's End
Lee Kum Kee Foods
Lexmark
LG Electronics
Lipton Foods
L.L. Bean, Inc.
Logitech
Libby's Foods
Linen & Things
Lipo Chemicals, Inc.
Lowe's Hardware
Lucent Technologies
Lufkin

Mars Candy
Martha Stewart Products
Mattel
McCormick Foods
McDonald's
McKesson Corporation
Megellan GPS
Memorex
Merck & Company
Michael's Stores
Mitsubishi Electronics
Mitsubishi Motors
Mobile Oil
Molex
Motorola
Motts Applesauce
Multifoods Corporation

Nabisco Foods
National Semiconductor
Nescafe
Nestles Foods
Nextar
Nike
Nikon
Nivea Cosmetics
Nokia Electronics
Northrop Grumman Corporation
NuSkin International
Nutrilite (see Amway)
Nvidia Corporation (G-Force)

Office Depot
Olin Corporation
Old Navy
Olympus Electronics
Orion-Knight Electronics

Pacific Sunwear, Inc.
Pamper's
Panasonic
Pan Pacific Electronics
Panvise
Papa Johns
Payless Shoesource
Pelco
Pentax Optics
Pep Boy's
Pepsico International
PetsMart
Petco
Pfizer, Inc.
Philips Electronics
Phillip Morris Companies
Pier 1 Imports
Pierre Cardin
Pillsbury Company
Pioneer Electronics
Pitney Bowes, Inc.
Pizza Hut
Plantronics
PlaySchool Toys
Polaris Industries
Polaroid
Polo (see Ralph Loren)
Post Cereals
Price-Pfister
Pringles
Praxair
Proctor & Gamble
PSS World Medical
Pyle Audio

Qualcomm
Quest One

Radio Shack
Ralph Loren
RCA
Reebok International
Reynolds Aluminum
Revlon
Rohm & Hass Company

Samsonite
Samsung
Sanyo
Shell Oil
Schwinn Bike
Sears-Craftsman
Seven-Eleven (7-11)
Sharp Electronics
Sherwin-Williams
Shure Electronics
Sony
Speco Technologies/Pro Video
Shopko Stores
Skechers Footwear
SmartHome
Smucker's (see J.M. Smucker's)
Solar Power, Inc.
Spencer Gifts
Stanley Tools
Staple's
Starbucks Corporation
Steelcase, Inc.
STP Oil
Sunkist Growers
SunMaid Raisins
Sunglass Hut
Sunkist
Subway Sandwiches
Switchcraft Electronics
SYSCO Foods
Sylvania Electric

3-M
Tai Pan Trading Company
Tamron Optics
Target
TDK
Tektronix, Inc
Texas Instruments
Timex
Timken Bearing
TNT
Tommy Hilfiger
Toro
Toshiba
Tower Automotive
Toyota
Toy's R Us, Inc.
Trader Joe's
Tripp-lite
True Value Hardware
Tupper Ware
Tyson Foods

Uniden Electronics
UPS

Valspar Corporation
Victoria 's Secret
Vizio Electronics
Volkswagen
VTech

Walgreen Company
Walt Disney Company
Walmart
WD-40 Corporation
Weller Electric Company
Western Digital
Westinghouse Electric
Weyerhaeuser Company
Whirlpool Corporation
Wilson Sporting Goods
Wrigley
WW Grainger, Inc.
Wyeth Laboratories

X-10
Xelite
Xerox

Yahoo
Yamaha
Yoplait Foods
Yum Brands

Zale Corporation
Ni kwa sababu ya "Cheap Labour" hamna sababu nyingine
Christian Europens ndio walioua waafrika wengi zaidi wameua more then 60 million, tazama documentaries na soma vitabu, watu weusi wameishi kwa shida sana, wazungu wamebaka sana wanawake wa ki afica, mpaka leo hii tazama jamii za watu weusi marekani zinaonekana ni wakorofi na wahalifu lakini hizo ni athari za ubaguzi na unyanyasaji, walinyanyaswa mpaka ikapelekea jamii zao zijihami, ukitembea kwenye hood bunduki ni nje nje.

Wengi mnapotoshwa japo waarabu pia walifanya slave trade, lakini mzungu ana akili sana nasema tena ana akili sana ndio maana kabadili historia na kila kitu na kukulisha tango pori.

Kwa nini Mohamed ali alibadili jina toka Cassius Marcellus Clay Jr. na kuwa Mohammed Ali? Kwa nini Malcom alifuta jina la mwisho na kujiita X?

Kaka soma vitabu vitakusaidia sana, watu weupe wapo kwa ajili ya maslahi yao.
Naona unazunguka mbuyu tu, hujatwambia mamilioni ya waafrika waliopelekwa utumwani na hao waarabu wenu uzao wao uko wapi.

Je, unajua wanaume wote walihasiwa na wanawake wanaume wa kiaarabu waliwabaka na pale walipozaa watoto wa kiume waliuwawa.

Hao ndio waarabu mnaoasujudia kwa kuwaletea dini utafikiri kabla hawajaja mababu zenu walikuwa hawamuabudu Mungu. Bure kabisa.
 
Katika hali ya Kutisha iliyoikumba Nchi ya Iran... sasa Wameomba Po na kuomba Marekani iwaondolee Vikwazo katika idara ya Afya ili iweze kupambana na Gonjwa Jipya la Mafua linaloua kwa kasi raia wa Iran ambapo hadi kufikia leo mapema ni Raia 413 walishadanja huku raia zaidi ya elfu kumi wakiwa wanaugua wakiwepo viongozi wa Juu na Wabunge...Waziri wa mambo ya nje wa Iran Bwana Zarif alitweet huku akiomba Msaada wa Dawa na Vifaa walivyopungukiwa nchini Mwao as ni Msaada wa Haraka Sana so tusubiri Majibu ya Marekani watasemaje au Wataruhusu Channel ziwafikie Wairani wapate Msaada huo...Zile Tambo


Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif has written a letter to the United Nations secretary general, urging lifting of the unilateral and illegal sanctions imposed by the United States on the country, which have greatly hampered the Islamic Republic’s fight against the new coronavirus epidemic.
Iran’s Foreign Ministry spokesman, Abbas Mousavi, reported the letter in a tweet on Thursday, saying that copies of the letter addressed to Antonio Guterres were also sent to the heads of international organizations and Zarif’s counterparts across the world.

Despite the high scientific standing of the Iranian health apparatus and its commitment to the ongoing fight against the coronavirus outbreak, the complications created by the US sanctions “have faced Iran’s fight with the COVID-19 outbreak with serious impediments,” Zarif said in his letter.

Novel coronavirus, or COVID-19, is a new respiratory disease first identified in the central Chinese city of Wuhan late last year. The World Health Organization on Wednesday described the outbreak as a pandemic.
More than 126,000 people have been infected by the virus across the world and 4,630 have died, the vast majority of them in China, according to a Reuters tally.
Iran’s Health Ministry spokesman Kianush Jahanpur told state television on Thursday that 1,075 new confirmed cases of COVID-19 have been detected across the country in the last 24 hours, which brings the total number of infected people to 10,075. He also put the death toll at 429.
Elsewhere in his letter, Zarif said the US’ renewed sanctions had come in the way of legal trade with Iran amid the outbreak, adding that American officials have recently set some preconditions with the aim of preventing sales of medicine, medical equipment, and humanitarian commodities to the Islamic Republic.
The US reinstated its sanctions against Iran in May 2018 after leaving a UN-endorsed nuclear agreement with Iran and the P5+1 group of countries.
Tehran sued Washington at the International Court of Justice afterwards. The tribunal ruled that the US should lift its sanctions on humanitarian supplies.
The letter by the Iranian foreign minister then offered a breakdown of how else the US’ adversarial sanctions were targeting Iran’s economy.
Zarif pointed to US sanctions on Iran’s oil sales and the Iranian private sector’s export activities, noting that the restrictions are reducing the Iranian government’s ability to provide Iranians with subsidies on staples, while also weakening the private sector’s production and job creation capabilities.
Tehran: US doesn’t allow Iran to use Swiss trade channel for importing medicine

Zarif described the sanctions preventing Iran’s purchase of medicine and medical equipment as “multi-layered” bans targeting the financial, transportation, insurance, and banking sectors.
Through its draconian measures, the US is trying to bring Iran’s aviation activities to a halt by denying its aviation sector navigation equipment and software, Zarif said.
Most recently, American companies have also been stonewalling Iran’s access to the information technology tools that would help it confront the virus, he noted.

Zarif also released a list of medical equipment that Iran urgently needs in its fight against the coronavirus outbreak, saying that although “Iranian care personnel are courageously battling #COVID19 on frontlines, their efforts are stymied by vast shortages caused by restrictions on our people's access to medicine/equipment”

View image on Twitter

The US success in bringing Iran under the pressure was to some extent rooted in the international community’s inaction in the face of Washington’s illegal measures, the top diplomat remarked in the letter.
The letter finally demanded an immediate end to the US acts of economic terrorism against the Iranian people. It reminded the UN and its member states of their duty to accommodate the Iranian people and government’s request for cessation of the US policy towards Iran, and urged that the UN chief circulate the letter at the Security Council and the General Assembly.
nchi zingine pumbavu kabisa yaani walikua wanapesa wanaishia kutenegeneza mabomu na missle defense system ...fucvk them
 
Corona inatibiwa kulingana na dalili za mgonjwa sasa wataidhibiti vipi kama hawatakuwa na chanjo cause America hawezi kuwapa kabisa mtu aliyebarikiwa kabarikiwa tu
Kwan chanjo inazuka yenyewe si inatengenezwa basi ngojea uone kama wataitengeneza ama laah

Wale watoto wapapa pale milan hawajabarikiwa [emoji16][emoji16] maana naona wanapukutika kama majani yakiangazi......

Sent using My COVID-19
 
Nyukila ni za nn? Tuna tishio la viumbe kutoka sayari nyingine kuvamia dunia? Kuwe na utaratibu wa kutengeneza hizi silaha.
Waulize Wamagaribi Wanaozimiliki Kwa wingi Za nn

Utaratibu wakazi gan kwan kilataifa silina haki yakujilinda kama ukiwekwa utaratibu wakumiliki silaha inabidi US Wasimikiki Hata Baruti

Sent using My COVID-19
 
Waulize Wamagaribi Wanaozimiliki Kwa wingi Za nn

Utaratibu wakazi gan kwan kilataifa silina haki yakujilinda kama ukiwekwa utaratibu wakumiliki silaha inabidi US Wasimikiki Hata Baruti

Sent using My COVID-19
Dunia ni sehemu ya amani, hatujaja hapa kuonyeshana nani anaweza kuua binadamu wenzake kwa idadi kubwa. Endeleeni kushabikia tugeuke mars. Kama sababu ni tishio la maadui nje ya sayari tuweke utaratibu sio sisi tuuane kwa vigezo vya dini au mali. Pigania hilo hata kwa kuandika tu.
 
Kamrushia miguu nani[emoji23][emoji23][emoji23]

US Kutegemea Kupigiwa Magoti Na IRAN Asahau Yeye Ndio Anapiga Magoti Nandio Sababu Alisaini Dili 2015 alokuja Kujitoa 2018

Sent using My COVID-19
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Iran hakusaini?! Vp urusi naye alipiga magoti[emoji1787][emoji1787][emoji1787], uingereza na China je?
Acha kujitoa ufahamu wewe, unaujua ukweli Iran kabisa Iran ndo aliufyata akasaini deal na akakubali kuachana na kutengeneza nuclear weapons, kilichotokea ni baada ya regime change pale Washington akaingia mzee mzima Trump akaitoa US katika hiyo deal, unajua Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu Israel haikufurahishwa na hiyo kitu, kingine hata Saudi Arabia pia hakurahishwa kuona mashia yakuwa karibu na mabwana akihofia mashia yatamzidi ushawishi, kwa kuwa Iran alikuwa anatekeleza masharti ndo maana nchi nyingine zilizosaini makataba wakiwemo washirika wa US walishangaa kujitoa kwa US na wao wakaamua kubaki kwenye mkataba. Ila sasa mwenye nguvu muite Power, kajitoa mmoja tu kati ya sita lakin utafikiri wamejitoa watano, make jamaa aliweka bit uchague either kufanya biashara na Iran au US[emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua wajua chaguo walilochagua. Bas ndo hivyo Iran akaanza kupata tabu upya kiasi kwamba sasa anapiga mayowe viondolewe na haelewi afanyeje ili viondolewe, make kama kuchana na siraha za nyuklia alishasaini hadi mkataba wa kuacha lakin bado akalimwa vikwazo upya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Christian Europens ndio walioua waafrika wengi zaidi wameua more then 60 million, tazama documentaries na soma vitabu, watu weusi wameishi kwa shida sana, wazungu wamebaka sana wanawake wa ki afica, mpaka leo hii tazama jamii za watu weusi marekani zinaonekana ni wakorofi na wahalifu lakini hizo ni athari za ubaguzi na unyanyasaji, walinyanyaswa mpaka ikapelekea jamii zao zijihami, ukitembea kwenye hood bunduki ni nje nje.

Wengi mnapotoshwa japo waarabu pia walifanya slave trade, lakini mzungu ana akili sana nasema tena ana akili sana ndio maana kabadili historia na kila kitu na kukulisha tango pori.

Kwa nini Mohamed ali alibadili jina toka Cassius Marcellus Clay Jr. na kuwa Mohammed Ali? Kwa nini Malcom alifuta jina la mwisho na kujiita X?

Kaka soma vitabu vitakusaidia sana, watu weupe wapo kwa ajili ya maslahi yao.

Bora umempa ukweli mkuu,,,jamaa chuki zimezidi
 
Itakuwa waliuawa maana miarabu ni mijitu ya kishenzi sana yani mibinafsi sana aisee. Nilikulaga kitoto chao kimoja yani huwezi amini hii mijitu ilivyonisaka iniuwe kisa mimi ni mtu mweusi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app


Migalatia bwana 😁😁 mkishindwa hoja mnaandika madudu tu 😁😁 ,,,mnawachukia sanaa waarabu/waislamu kwa ujumla. Waarabu ni ndugu ze2 wewe galatia mtake mctake huo ndio ukweri wenyewe,,,waarabu wame2letea uislamu,,amani,,ustaarabu n.k. Alhamdulilah 2nawashukuru sana sana waarabu.


Michuki yenu aitawasaidia enyi migalatia,,,Muisilamu ndugu yake Muisilamu,,,
 
Dunia ni sehemu ya amani, hatujaja hapa kuonyeshana nani anaweza kuua binadamu wenzake kwa idadi kubwa. Endeleeni kushabikia tugeuke mars. Kama sababu ni tishio la maadui nje ya sayari tuweke utaratibu sio sisi tuuane kwa vigezo vya dini au mali. Pigania hilo hata kwa kuandika tu.
Dini imefuata nn ss [emoji16][emoji16]

inatakiwa kusiwe na utaratibu wakuzimiliki inatakiwa ziondolewe kabisa unaposema kuwe na utaratibu wakuzimiliki lazima wanaozimiliki walete ubabe dhidi yawasio zimiliki refer US vs JAPAN

ikitokea kama baadhi wanatakiwa wawe nazo nabaadhi wasiwe nazo kama unavyotaka wewe US Hatakiwi Kumiliki Hata Shibri Moja Muuaji Namba Moja Wa WAJAPAN.....

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] RUSSIA na CHINA Wapo sahihi maana hawajawahi kusema IRAN Isitishe Mpango wake wa ATOMIC
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Iran hakusaini?! Vp urusi naye alipiga magoti[emoji1787][emoji1787][emoji1787], uingereza na China je?
Acha kujitoa ufahamu wewe, unaujua ukweli Iran kabisa Iran ndo aliufyata akasaini deal na akakubali kuachana na kutengeneza nuclear weapons, kilichotokea ni baada ya regime change pale Washington akaingia mzee mzima Trump akaitoa US katika hiyo deal, unajua Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu Israel haikufurahishwa na hiyo kitu, kingine hata Saudi Arabia pia hakurahishwa kuona mashia yakuwa karibu na mabwana akihofia mashia yatamzidi ushawishi, kwa kuwa Iran alikuwa anatekeleza masharti ndo maana nchi nyingine zilizosaini makataba wakiwemo washirika wa US walishangaa kujitoa kwa US na wao wakaamua kubaki kwenye mkataba. Ila sasa mwenye nguvu muite Power, kajitoa mmoja tu kati ya sita lakin utafikiri wamejitoa watano, make jamaa aliweka bit uchague either kufanya biashara na Iran au US[emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua wajua chaguo walilochagua. Bas ndo hivyo Iran akaanza kupata tabu upya kiasi kwamba sasa anapiga mayowe viondolewe na haelewi afanyeje ili viondolewe, make kama kuchana na siraha za nyuklia alishasaini hadi mkataba wa kuacha lakin bado akalimwa vikwazo upya.


Sent using Jamii Forums mobile app
WESTERN Namashost zake waulaya ndio wanataka IRAN Waachane Namipango Yake Ya ATOMIC Ila Mpaka Ss IRAN Wamekaza


Ipo siku US Atakuja Kuiomba Msamaha IRAN

Sent using My COVID-19
 
Hivi uongo unawasaidia nini?

Wapi katika chanzo ilipoandikwa kuwa Iran "Wameomba MareKani"? Kama ulivyozuwa

Iran imeuandikia Umoja wa Mataifa na haikuwaadikia Marekani. Acha uongo. Soma tafsiri ya kilichoandikwa Kwa Kingereza...

AFP) Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Mohammad Javad Zarif ameandika barua kwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihimiza kuiondolea vikwazo visivyo vya kisheria na visivyo halali vilivyowekwa na Amerika kwa nchi hiyo, ambayo imezuia sana mapigano ya Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya janga jipya la coronavirus. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, Abbas Mousavi, aliripoti barua hiyo katika barua pepe ya Alhamisi, akisema kwamba nakala za barua iliyoelekezwa kwa Antonio Guterres pia zilitumwa kwa wakuu wa mashirika ya kimataifa kote ulimwenguni.
Beberu ni Mbuzi dume, Akiwa jike anaitwa nani. Mana Iran ni Mbuzi jike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan chanjo inazuka yenyewe si inatengenezwa basi ngojea uone kama wataitengeneza ama laah

Wale watoto wapapa pale milan hawajabarikiwa [emoji16][emoji16] maana naona wanapukutika kama majani yakiangazi......

Sent using My COVID-19
Wewe unazungumza habari za kusubiri kuona kama itatengenezwa are you mad?
Chanjo ya Corona imetengenezwa kwa kirusi cha Corona kilichokufa ipo tayari na imejaribiwa kinachosubirisha ni kuona matokeo ya side effects zake.

Italy wanakufa kwa sababu waitaliano ni travellers wazuri sana na kufa kwao si jambo la ajabu kwa sababu serikali yao haitoi data za uongo.
Kwa mashia wenzio Iran WHO wanasema kila baada ya dk 3 kuna new case ya maambukizi serikali yao inasema every 10 minutes uone upuuzi wa mashia wenzio
 
Back
Top Bottom