Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Ndugu zangu wanafamilia ya JF
''KUMEKUCHA sasa kumekucha majogoo vijijini yanawika''
Amkeni sasa JF nembers mjiandae kwenda kazini
Goodmomorning all!
**Hapa Kazi Tu**
Hili zee sakala kweli..Hapo umeandika nini?
Thanks ila amka kamandaHili zee sakala kweli..
Halafu hii sio news alert..and I bet umeulaza..its raining huko ngarenaro unapoishi..Thanks ila amka kamanda
Ndugu zangu wanafamilia ya JF
'Nimekumbuka wimbo wa siku nyingi kidogo ambao kiukweli sikuupenda wala sijui kaimba nani japo nimekuja kugungua umuhimu wake ukubwani
'KUMEKUCHA sasa kumekucha majogoo vijijini yanawika''wazalendo amkeni tufanye kazi sasa''
Amkeni sasa JF members mjiandae kwenda kazini
Goodmomorning all!
**Hapa Kazi Tu**
Aksante kwa ushauriMkuu naona unajitahidi sana kutoa uzi kama za Kisandu..
Sasa hivi utampita Kisandu kutoa uzi useless kabisa..
Kisandu has got himself a serious competitor!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aksante kwa ushauri
Nimecheka sana! Anatoa nyuzi kama za....!Mkuu naona unajitahidi sana kutoa uzi kama za Kisandu..
Sasa hivi utampita Kisandu kutoa uzi useless kabisa..
Kisandu has got himself a serious competitor!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipata ukuu wa wilaya usiimsahaau [HASHTAG]#DeoKisandu[/HASHTAG] ambaye mnafanana IQ ili muweze kujenga viwanda 100 vya verehani vinne uko kwenu kwa wasukuma.Ndugu zangu wanafamilia ya JF
'Nimekumbuka wimbo wa siku nyingi kidogo ambao kiukweli sikuupenda wala sijui kaimba nani japo nimekuja kugungua umuhimu wake ukubwani
'KUMEKUCHA sasa kumekucha majogoo vijijini yanawika''wazalendo amkeni tufanye kazi sasa''
Amkeni sasa JF members mjiandae kwenda kazini
Goodmomorning all!
**Hapa Kazi Tu**
Ukiona hivi ujueHili zee sakala kweli..
mtu mzima hovyoooooooooooooooooooooooooo, jitahidi unaweza okotwaNdugu zangu wanafamilia ya JF
'Nimekumbuka wimbo wa siku nyingi kidogo ambao kiukweli sikuupenda wala sijui kaimba nani japo nimekuja kugungua umuhimu wake ukubwani
'KUMEKUCHA sasa kumekucha majogoo vijijini yanawika''wazalendo amkeni tufanye kazi sasa''
Amkeni sasa JF members mjiandae kwenda kazini
Goodmomorning all!
**Hapa Kazi Tu**
Hahah kweli..maana limenistua kumi na moja alfajiri na huu Uzi nilichukia..Ukiona hivi ujue
1. CV haiku vizuri
2. Anakimbizia donge nono