Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Ndugu zangu wanafamilia ya JF
'Nimekumbuka wimbo wa siku nyingi kidogo ambao kiukweli sikuupenda wala sijui kaimba nani japo nimekuja kugungua umuhimu wake ukubwani
'KUMEKUCHA sasa kumekucha majogoo vijijini yanawika''wazalendo amkeni tufanye kazi sasa''
Amkeni sasa JF members mjiandae kwenda kazini
Goodmomorning all!
**Hapa Kazi Tu**