Kumekucha: Saudi Arabia kukamata kila atakayeikosoa Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wenye dini yao wamebadilisha mkondo na kukubali kustaarabika, vipi ndugu zetu Waswahili mbona mnashupaza shingo....

Saudi Arabia is arresting individuals criticizing the Israeli occupation over its genocidal war on Gaza on social media platforms as normalization talks reach an advanced stage, Bloomberg reported on Thursday.

The recent campaign of arrests is reportedly linked to security concerns, according to officials and rights activists.

This crackdown comes after the Israeli aggression on the Strip sparked outrage among Arab nations against the occupation, fracturing years of normalization efforts. Similarly, this sentiment has been echoed in the Western world, where growing protests, especially on university campuses, have been observed recently.

brazaj
 
Ni suala la muda tu, ustaarabu utatawala dunia. Wenye dini yao wameonesha njia.
 
Wamepata akili. Wasubiri matunda mema
 
Wanaodandia treni Makutopora watakuja kupinga na kudai wanatumiwa na Marekani na kama ni hivyo basi kumbe hawa wadandiaji ndio wanaupotosha utamaduni wa kiarabu.
 
Wanaodandia treni Makutopora watakuja kupinga na kudai wanatumiwa na Marekani na kama ni hivyo basi kumbe hawa wadandiaji ndio wanaupotosha utamaduni wa kiarabu.
Hata hapa Tanzania kuna mashoga wengi tu na hawajifichi mfano marehemu ant bilal wa kinondoni

Mbona unamsahau Nabii wako Tito anayeongozwa na Roho mtakatifu wenu kuchokolewa boga
Your browser is not able to display this video.
 
Inaonekana uislamu unapendwa sana maana hauishi kuzungumziwa. Jamani anaejua namna ya kuwa muislamu anipe maelekezo.
 
Bloomberg reported..daah πŸ˜ƒπŸ˜ƒ..weeh kweli kiazi
 
Wale jamaa wa kwa Mtogole sijui watajificha wapi na chuki zao kwa Wayahudi
 
Nani alikuambia Uislam ulianzishwa na viongozi wa Saud Arabia πŸ˜„


Aliye uleta Uislam no Mungu na yeye ndiye ataulinda.

Tutaona ni Mungu atashinda au huyo kiongozi wa Saud Arabia unaye msifia. Mmmi nionavyo kisha jichimbia kaburi siku zake haziko mbali.
 
Kama unajielewa na unajua KIINGEREZA kisha, ukaingia na kusoma ndani ya hiyo Link iliyowekwa, utagundua kuwa kuna 'Vihiyo' wengi zaidi huko majumbani na si ajabu wanajiita 'Wasomi' wakiwa na maDiploma yao ya kuchambia kede.
Yaani watu wasiojielewa na wa kukurupukia wasichokielewa.
Na huyu mleta Uzi nae si haba, huyu sio mtu mdogo huyu ndie kaishikilia Bendera ya hao wasiojielewa.

WAZAZI PELEKENI WATOTO SHULE VINGINEVYO MBELENI MTAISUMBUA JAMII KUISHI NA MATAKATAKA KAMA HAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…