Kumekucha: Saudi Arabia kukamata kila atakayeikosoa Israel

W
Uta wala wa kifalme wa saudia,unaongoza kwa mkono wa chuma, hakuna demokrasia, na unategemea USA kubaki madarakani, saudia ikienda kinyume na Sera ya nje ya USA, USA, kupitia CIA wanaweza ku destabilize hiyo nchi vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…