Kumekucha simba leo 8/8 saa 8

Kumekucha simba leo 8/8 saa 8

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Saa 8;00 mchana club ya simba inaanza utambulisho wa wachezaji wao wapya watakao tumika msimu ujao
Unadhani watanza na nani?
Je ni jack shonga au makusu?
 
Ivi mwaka huu hakuna SIMBA DAY sijasikia kabisa matangazo ya simba day mwaka huu
 
Wamemaliza kuziandika
Sisi tunaenda kukusanya dhahabu
 
Back
Top Bottom