Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

Mimi Kama Lexington Steele, nitashiriki
 
Sweden ilikuwa nchi ya kikristo kwelikweli mpaka ikawa na raia wake wanaoneza neno la Mungu Afrika kama Free Swedish Mission ambao walikuwapo Tanzania tangu miaka ya 50, ni hivi miaka ya karibuni serikali ya huko iliacha kutoa fedha kwa wamisionari wa sweden ikabidi makanisa ya Tanzania ambayo yalikuwa yanapata misaada waswiden yaanze kujisaidia yenyewe. Sasa huko nuru ilikochomoza na kuja afrika ndio giza limeingia huko, yaani ulaya yote sasa ni giza nene limetanda ushetani umetamalaki. Wanajifanyia mambo ya ajabu
 
Dini ilikua ni utapeli toka mwanzo, sema waafrika ndio tumeichukulia serious ila ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
 
rikiboy njoo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…