Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa kuwa pale Orlando.
Duh! Yanga sasa inatumika kama Kipimo cha Ubora
Hii yanga ni hatari sana kiasi Kwamba Kila timu inataka kutest ubora wao
Hizo ni baadhi ya comments za wasauzi