Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Jamaa aliomba apigwe ban Simba ikishinda.Mods nao ni simba. Wamemfanyia figisu sana jamaa hadi kapigwa ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliomba apigwe ban Simba ikishinda.Mods nao ni simba. Wamemfanyia figisu sana jamaa hadi kapigwa ban.
Yanga raha sana.ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa kuwa pale Orlando.
Duh! Yanga sasa inatumika kama Kipimo cha Ubora
Hii yanga ni hatari sana kiasi Kwamba Kila timu inataka kutest ubora wao
Hizo ni baadhi ya comments za wasauzi
Huwezi ifikia rekodi ya Simba wewe kushinda goli 7Yanga ndo TBS
Chambuzi limepigwa ban 😀😀😀😀Huyu jamaa kwanini kapigwa ban?. Hahaha,Simba mbaya mno.
haiwezekani, labda atakuwa katukana kwenye thread za humu ndaniMods nao ni simba. Wamemfanyia figisu sana jamaa hadi kapigwa ban.
Aliyeandika hivi ni shabiki wa SimbaWaitwa ni NOISE MAKERS
haha na wamempiga ban kweli 😂Aliomba apigwe Ban 😆
Ukiona timu zinakukimbilia kupangwa na wewe shtuka wewe ni kibonde🤣ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa kuwa pale Orlando.
Duh! Yanga sasa inatumika kama Kipimo cha Ubora
Hii yanga ni hatari sana kiasi Kwamba Kila timu inataka kutest ubora wao
Hizo ni baadhi ya comments za wasauzi
Mimi ni Simba lakini KWA HILI NAKUBALIANA NA WEWE. Sema sisi Mashabiki wa Simba huwa tunaikuza sana timu yetu tofauti na uhalisia. TUNAONGOZA KWA PROPAGANDA UTADHANI CHAMA CHA SIASAHatimaye Yanga ndiyo timu Mkombozi sasa kwa timu kutoka Tanzania.
Daaah kumbe[emoji23]Mashabiki wanaotaka Yanga sio kaizer tu.
Yani imetokea kwamba wanaamini Yanga imeshinda juu ya Mamelodi /Kaizer chief kwahiyo Wanataka Orlando nao wafungwe mana wanajiona wakubws sana kwakua hawajakutana na Yanga[emoji1787] na Mashabiki wa Orlando wanajitetea kuwa wao hawajakutana na Yanga wanaweza kuifunga vizuri tu.
YAnga wakipangwa na Orlando wakaifunga aisee hio siku sipati picha[emoji1787][emoji1787] kwanza haitohitaji madhabiki watoke Dar watawakuta kule kule! Na wakiwafunga Yanga watavimba sanaaa!