Magoma yupo kimkakati mkuu.....Yanga inafanya umafia Hadi nje ya uwanja....Uzuri wa mashabiki wa yanga wanaamini habari yoyote kuhusu team yao isipokuwa ya mzee magoma tu.
Mashabiki hao wanajiamini lakini viongozi wana wasiwasi. Pale South Afrika timu ya kuisumbua Yanga ni Mamelod. Hao Orlando watachezea goli nyingiORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa kuwa pale Orlando.
Duh! Yanga sasa inatumika kama Kipimo cha Ubora
Hii yanga ni hatari sana kiasi Kwamba Kila timu inataka kutest ubora wao
Hizo ni baadhi ya comments za wasauzi
Dah! Pole sana Comrade. Naamini tupo wote humu jukwaani kivingine kabisa.ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa kuwa pale Orlando.
Duh! Yanga sasa inatumika kama Kipimo cha Ubora
Hii yanga ni hatari sana kiasi Kwamba Kila timu inataka kutest ubora wao
Hizo ni baadhi ya comments za wasauzi
Mods nao ni simba. Wamemfanyia figisu sana jamaa hadi kapigwa ban.Huyu jamaa kwanini kapigwa ban?. Hahaha,Simba mbaya mno.