Kumekucha Uganda: Mke wa MB Bobi Wine amshtaki Museven kwa Rais Trump

Kumekucha Uganda: Mke wa MB Bobi Wine amshtaki Museven kwa Rais Trump

Kwani Uganda haina watu wasiojulikana???
Awe mwangalifu wasije wakampoteza mama wa watu😁😁😁
 
Bado hujawajua vema hao wamarekani. Jiulize iraq,libya na huko misri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, bongo na US mbali mkuu. Sipafahamu Vizuri.

Ila jua regime change kwanza ni gharama kubwa. Pili inahitajika mipango na mikakati ya uhakika na kuandaa wakumuweka baada ya coup, so ni Mapema Sana kutabiria hayo.

Huko ulikotaja iliwezekana maana "waligharamia" indirectly hayo mapinduzi. UG bado haina hizo rasilimali za kufanikisha hayo. Na hakuna interest yoyote ya kumfaidisha US hapo hadi aingilie kati. Bado Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo familia inauraia pacha? Yaani wanauraia wa Uganda na wa US? (Wakati naandika post hii sijatazama hiyo clip wala kusoma post ya kwa ya uzi huu).Swali langu linaongozwa na kichwa cha uzi huu.
 
Hapa tumefikishwa kuutamani ukoloni wa wazungu. Labda wakitutawala tena, watakuwa wanejifunza,hawatatusa kama walivyofanya na kama wafanyao hawa watawala wetu Wakatili sana.
 
[emoji16][emoji16] muanzisha thread kweli umeisikiliza hiyo clip na kujiridhisha ni trumpa anaongea na mke wa bobi wine?au ndio porojo tu na kutaka kudanganya watu?sauti ni ya mtangazaji wa bbc wewe unatuambia anamshitaki kwa Trump,wtf
 
Hayawi hayawi yamekuwa....!!

Tunaweza kusema ni kitendo cha kishujaa kwa mwanamama mke wa Bobi Wine kumpigia simu Rais wa Marekani ili kumshtaki Rais M-7 katika juhudi za kunusuru maisha ya mume wake.
Mke wa Bobi Wiine ameanika Unyama wa Rais Museveni aliomtendea Mbunge Machachari wa Uganda Kyagulanyi Ssentama a.k.a Bobi Wine kwa Rais Trump wa Marekani akimwomba Rais huyo wa Taifa kubwa la Marekani aingilie kati ili kusaidi kuokoa maisha ya mume wake.

Angalia hii.


Stay tuned.
Nimesoma huu uzi nikiwa na tafakuri kadhaa kichwani kwangu..

1: alieunzisha ana ufahamu wowote wa maana katika masuala ya kitaifa na kimataifa anafahamu?

2: Anajua chochote kuhusu uhuru wa Taifa moja na jingine?

Kisha nikasoma michango ya wachangiaji..
Nimeishia kuona mambo mawili makuu.

1.JF imepoteza kwa kiwango kikubwa sana uzito wa wanachama wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No! No! Utter no. This is not Trump. The man speaking to wife of Bob Wine in this audio is called Julian Marshall, well experienced BBC reporter.
 
What goes on in Uganda about Bob is widely known internationally. Therefore there are majority individual and human right NGO'S that gives reports dailly to other nations including USA.

TRUMP himself knows everything about the stupidity ruling system of Mseven to all opposition party and he woned Mseven before being a president.

People has made connection between the two side and instructed Bob's wife what to inform TRUMP so as to let her husband free. And up to now its so hard time to Mseven incase Bob dies.
I smell a great nation revolt in Uganda that will let him to loose his power.

Sent using Jamii Forums mobile app
It is not true so to speak. If that could be easy Sudanese people could have earned this help long time ago. There are treaties that bar the international community to intervene the domestic issues of conflict stricken countries.
 
Eti anaongea Na Trump! Wengine labda wameibuka vyooni mbio labda wamesahau hata ......maji kuja kushangilia..Mada hii ni kipimo cha upeo wa waanzisha mada wengi..
 
[emoji16][emoji16] muanzisha thread kweli umeisikiliza hiyo clip na kujiridhisha ni trumpa anaongea na mke wa bobi wine?au ndio porojo tu na kutaka kudanganya watu?sauti ni ya mtangazaji wa bbc wewe unatuambia anamshitaki kwa Trump,wtf
Mkuu huyu jamaa ni kilaza sana, hawezi tofautisha kiingereza cha waingereza na wamarekani kwa kuongea?,huu ushabiki maandazi unawapeleka pabaya sana.Watu wanaanza kuwa wapumbavu.Huyu mleta mada anatakiwa apewe ban na ma moderator wapo wanatazama huu uongo uendelee kuwepo humu tu.
 
Back
Top Bottom