Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
UONGOZI WA JUU....WA THT kwa sasa wameandaa mkakati mzito wa kuwafukuza...wanamuzi hawa baada ya
kukubabali kushiliki show ya miaka 13..ya lady jay dee...na kuonekana kwenye video ambayo watashiriki show
ya lady jay dee......
tunaelekea wapi sasa....hii vita ...kwani wana makosa gani...kushiliki show ya jay dee....
source;tht facebook gruop,linah page,some blogs..like mpekuzi,
kazi ipoo mwaka huuu