Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Kwa mtazamo wangu naona kama JIDE hajawafanyia kitu kizuri hawa watoto,anawaweka dillema waegemee wapi coz Ruge ni bosi wao na Jide ni kama dadayao kwny mziq,wanahis wakimkatalia jamii haitawaelewa.Sio fair kuwahusisha kwny bifu,unawaharibia tu hapo,hawana miziz kama uliyonayo jide sasa wakitoswa hapo tht watapata wapi japo kidogo wanachokipata sasa kinachowasaidia kuishi mjin?Sifungaman na upande wowote but JIDE kuwahusisha hawa madogo kwenye show yako utawaponza,najua ikiisha show hutakuwa na tym nao tena