Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ruge ana roho mbaya kama muuza sumu
me sjaona tatizo, kwani maisha yako tht peke yake? huo ndio mwanzo mzuri wa kusimama kama wao. ina manna tht ikifa hatuta wasikia tena? this is bullshit, corrupted. ts so sad kutegemea mtu.
Kaka tatizo si kuwafukuza..mi najua wale jamaa hawataishi hapo , wataendelea kuwasakama na kwa sababu bado hawana mizizi kama lady jdee wanaweza wakapotea kabisaaaa!
hivi mkuu unataka kuniambia bila Ruge huwezi kufanya music?

Ofcourse unafanya lakini hebu fikiria wale madogo wakipigwa fitina kama anazopigwa jide watahimili kweli?, ukizingatia kwanza hawako vizuri kiuchumi, bado channeli hawazijui, watajikuta tu wanapote!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums