kumekucha uongozi wa THT kuwafukuza linah na barnaba kuonekana kukubali kushiliki show ya jide

Kwa mtazamo wangu naona kama JIDE hajawafanyia kitu kizuri hawa watoto,anawaweka dillema waegemee wapi coz Ruge ni bosi wao na Jide ni kama dadayao kwny mziq,wanahis wakimkatalia jamii haitawaelewa.Sio fair kuwahusisha kwny bifu,unawaharibia tu hapo,hawana miziz kama uliyonayo jide sasa wakitoswa hapo tht watapata wapi japo kidogo wanachokipata sasa kinachowasaidia kuishi mjin?Sifungaman na upande wowote but JIDE kuwahusisha hawa madogo kwenye show yako utawaponza,najua ikiisha show hutakuwa na tym nao tena
 
Mbona leo asubuhi kwenye clouds fm linah alikuwepo pamoja ba Mwanafa na atashiriki show ya Mwanfa!
 
nji hii kila kitu tabu tupu.....mambo ya visasi kila sehemu

Yana mwisho haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…