Kumekucha! Utafiti kuhusu uwezo wa akili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Utafiti wa Kisaikolojia Na Uliohusisha Uwezo Mkubwa Wa Akili za Mwanadamu Uliofanywa Na Maprofesa Bingwa Na Hodari Duniani Huko ktk Chuo Kikuu Cha Cape Town Afrika Ya Kusini Umegundua Yafuatayo:

1. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI JANUARY HADI APRIL...Ni Werevu Na Wana Akili Sana Na Mashujaa.
2. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI MAY HADI AUGUST.....Wana Akili Kiasi Na Ujinga Kiasi.
3. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI SEPTEMBER HADI DECEMBER...Ni Wajinga Hawana Mfano Dunia Nzima.

Hawakuishia Tu Hapo Wakaenda Mbele hadi Kuja Na Matokea Na Kusema Ya Kwamba...................:

1. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 11 ALFAJIRI HADI SAA 2 ASUBUHI...Ni Werevu Na Wana Akili Nyingi.
2. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 9 ALASIRI ...Wana Akili Na Wana Ujinga Kiasi.
3. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 10 JIONI HADI SAA 10 USIKU...Ni Wajinga Wa Kupindukia Dunia Nzima.

Tujitafakari Vilivyo Kwa Utafiti Huo ILA Binafsi Nimeuamini Kwa 99.999%.

ANGALIZO: Tafadhali Nisiulizwe Mimi Nipo Upande ktk Utafiti Huo Kwani Kila Mtu Atabeba Mzigo Wake Mwenyewe.

Nawasilisha Wana JF Wenzangu, Muwe Na Asubuhi Njema Na Weekend Iliyotulia Na Nawapendeni Nyote!
===================================================


Source: symbianize
 
Weka link nione utafiti wa hao maprofesa. Watakua sawa na maprofesa wa bongo.
 
kweli watanzania tuna IQ ndogo, ila ya hii ni mwisho wa vielelezo....

mleta mada kaweka msisitizo kwa capital letters sehemu anazodhani ni point.... kwikwikwikwikwi
kisha kaweka msisitizo zaidi kwa kuweka asilimia ya jinsi anavyouamini yeye kwa namna alivyouchunguza yeyey huo utafiti... ha ha ha

kweli upumbavu hauna ujazo
 
Acha upuuz na uyo mtafiti wako kama mm nimezaliw sept- Dec na muda wa saa 11 alfajir apo inakuwaje upuuuzzzzzz
 

Kwanz uyo prf wako alifanyia utafiti wake Mirembe siyo bureee
 
Nawasiwasi kama ninaelewa maana halisi ya utafiti. Kama naelewa basi huu utafiti wa mtoa mada utakuwa ni ule uliogundua kuwa : Tanzania = Tanganyika + Zimbabwe
 
kiukweli nimezaliwa november saa 9 usiku kumbe mi ni mbumbu
 
haki ya nani hizo haja hapo pia zimepima uwezo wako wa akili kuwa wewe ni mjinga.... profesa walijua wakisema hivyo kuna majinga yataamini na kujiwekea ujinga akilini mwao bila kufanya evaluation.... pole yako
 
utafiti wenyewe unajicontradict, ikiwa mtu kazaliwa mwezi wa kumi alaf kazaliwa saa 11 alfajiri, inakuwaje hapo?
 
wenye akili kidogo na ujinga mwingi tunaomba link ya utafiti huo.
 
Ungepeleka jukwaa la utani na vichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…