Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti wa Kisaikolojia Na Uliohusisha Uwezo Mkubwa Wa Akili za Mwanadamu Uliofanywa Na Maprofesa Bingwa Na Hodari Duniani Huko ktk Chuo Kikuu Cha Cape Town Afrika Ya Kusini Umegundua Yafuatayo:
1. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI JANUARY HADI APRIL...Ni Werevu Na Wana Akili Sana Na Mashujaa.
2. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI MAY HADI AUGUST.....Wana Akili Kiasi Na Ujinga Kiasi.
3. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI SEPTEMBER HADI DECEMBER...Ni Wajinga Hawana Mfano Dunia Nzima.
GENTAMYCINE kazaliwa mwezi october saa tisa usiku! tehe tehe tehe!kweli watanzania tuna IQ ndogo, ila ya hii ni mwisho wa vielelezo....
mleta mada kaweka msisitizo kwa capital letters sehemu anazodhani ni point.... kwikwikwikwikwi
kisha kaweka msisitizo zaidi kwa kuweka asilimia ya jinsi anavyouamini yeye kwa namna alivyouchunguza yeyey huo utafiti... ha ha ha
kweli upumbavu hauna ujazo
Sasa kama umezaliwa asubuhi lakini mwezi Desemba inakuwaje?
Ndo maana kuna magenious wa darasani lakinoi life yao hovyo kabisaa. Hujawahi ona dr bingwa lakini chapombe mbaya hata familia kaitelekeza! Hapo ni mkanganyiko wa mmwezi na saa ya kuzaliwa...
kweli watanzania tuna IQ ndogo, ila ya hii ni mwisho wa vielelezo....
mleta mada kaweka msisitizo kwa capital letters sehemu anazodhani ni point.... kwikwikwikwikwi
kisha kaweka msisitizo zaidi kwa kuweka asilimia ya jinsi anavyouamini yeye kwa namna alivyouchunguza yeyey huo utafiti... ha ha ha
kweli upumbavu hauna ujazo
Nimeyataka Mwenyewe Haya Na Sasa Nayakoga Madongo Na Nitakoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Utafiti wa Kisaikolojia Na Uliohusisha Uwezo Mkubwa Wa Akili za Mwanadamu Uliofanywa Na Maprofesa Bingwa Na Hodari Duniani Huko ktk Chuo Kikuu Cha Cape Town Afrika Ya Kusini Umegundua Yafuatayo:
1. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI JANUARY HADI APRIL...Ni Werevu Na Wana Akili Sana Na Mashujaa.
2. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI MAY HADI AUGUST.....Wana Akili Kiasi Na Ujinga Kiasi.
3. WATU WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI SEPTEMBER HADI DECEMBER...Ni Wajinga Hawana Mfano Dunia Nzima.
Hawakuishia Tu Hapo Wakaenda Mbele hadi Kuja Na Matokea Na Kusema Ya Kwamba...................:
1. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 11 ALFAJIRI HADI SAA 2 ASUBUHI...Ni Werevu Na Wana Akili Nyingi.
2. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 9 ALASIRI ...Wana Akili Na Wana Ujinga Kiasi.
3. WATU AMBAO HUZALIWA KATI YA SAA 10 JIONI HADI SAA 10 USIKU...Ni Wajinga Wa Kupindukia Dunia Nzima.
Tujitafakari Vilivyo Kwa Utafiti Huo ILA Binafsi Nimeuamini Kwa 99.999%.
ANGALIZO: Tafadhali Nisiulizwe Mimi Nipo Upande ktk Utafiti Huo Kwani Kila Mtu Atabeba Mzigo Wake Mwenyewe.
Nawasilisha Wana JF Wenzangu, Muwe Na Asubuhi Njema Na Weekend Iliyotulia Na Nawapendeni Nyote!
===================================================
Source: symbianize
GENTAMYCINE kazaliwa mwezi october saa tisa usiku! tehe tehe tehe!
Hahahaaaaaaaa... Umenichekesha sana GENTAMYCINE.Nimeyataka Mwenyewe Haya Na Sasa Nayakoga Madongo Na Nitakoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi bro pale magogoni kazaliwa mwezi gani vile?