Kumekucha! Utafiti kuhusu uwezo wa akili



Hii ni kama ile kazi ya Sheikh Yahaya, a.k.a utabiri wa nyota.


Jesus Christ, alizaliwa 25 December 0000
Bill Gate, alizaliwa 28 October 1955 at 22:00 (= 10:00 PM )
Nikola Tesla was born on July 10,1856
Mimi Bubu Msemaovyo July
 
GENTAMYCINE kazaliwa mwezi october saa tisa usiku! tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Nimeyataka Mwenyewe Haya Na Sasa Nayakoga Madongo Na Nitakoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa kama umezaliwa asubuhi lakini mwezi Desemba inakuwaje?

Ndo maana kuna magenious wa darasani lakini life yao hovyo kabisaa. Hujawahi ona dr bingwa lakini chapombe mbaya hata familia kaitelekeza! Hapo ni mkanganyiko wa mwezi na saa ya kuzaliwa...
 
Ndo maana kuna magenious wa darasani lakinoi life yao hovyo kabisaa. Hujawahi ona dr bingwa lakini chapombe mbaya hata familia kaitelekeza! Hapo ni mkanganyiko wa mmwezi na saa ya kuzaliwa...

ww jamaa noma,na ww ndo great thnker wa ukweli,yan comments zote hamna aliye waza k2 kama hv badala yake wanadhani either hao watafiti wamekosea,
 
haya maneno mengine bhana mie watu kibao nimewaacha form two na wamezaliwa january tena asubh
 
Daaah!Asante Mungu kua cjazaliwa ktk mwezi wowote miongoni mwa hiyo iliyotajwa!
 
ha ha ha ha, umesahau kimoja, ameweka jamii intelligence badala ya chit chat.

 
Kama hii ndiyo report basi ni yakupima akili za watu...mleta mada kakamatwa kuwa anakili ya ki-ma-sa.buri, kwani kama ni utafiti haujakidhi vigezo vyote vya kiutafiti. Hizi ni porojo za vijiweni. Nakumbuka moja ya porojo za vijiweni ni kuwa ukitaka kujua size ya papuchi basi angalia vidole vyake vya mguu, likewise the men angalia vidole vya mikono, au when you stumble three times utakutana na mkosi..na mengine mengi lakini siyo utafiti
 

mwenye taarifa tafadhali; hivi JK motors kazaliwa mwezi upi na saa ngapi?
 
Hivi bro pale magogoni kazaliwa mwezi gani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…