Kumekucha: Wakili msomi Peter Kibatala na Tundu Lissu kumtetea Ney wa Mitego mahakamani

Hujui hats mama yako ni mpiga dili chadema?muhulize


Swissme
Mkuu issue za siasa mnahusisha mama zenu ndio nini? Mama na aheshimiwe. Alafu unaweza kusikia huyu ni mwanamke na ndio anaongoza kushambulia mama za watu.
 
Mawakili wengine si wasomi?[emoji23] [emoji23] msomi hawezi tetea ujinga/upuuzi!
 
umesema vyema
 
Wahuni tu kutafuta kick, vitu vya maslah kwa wengi huwaoni ila issue za akina wema sepegu utawaona! Lisu sio wa kujifanya anajua kutetea wanyonge ilihal vijana wanagongwa 18% loan bodi huko, angekuwa mkweli angeonekana bt ni wauza sura
Kama ww ni wa upande wa fisiem povu Linakutokaje. Ninyi wa fisiem loan board imewapa 100%.fisiem oyeee.
Acha wenyekutafuta haki watetewe
 
Maswala ya mama angu yametokea wapi MKUU!??? Tafadhari usilete na usipende kuzungumzia wazazi wa watu Unajua mama angu Bado yupo hai!??? Hebu jaribu kukua MKUU....
Jiheshimu uheshimiwe
 
Ney wa Mitego safi sana Kamanda mpaka lini tutaishi kwa Shikamoo juu ya Serikali hii hapana. Tuna wajibu wa kutoa ya Moyoni wewe ni nani mpaka uwe unatusemea kila jambo na kutupangia wewe eh! Namnukuu Tundu Lissu Hatujawahi kupata Rais wa ajabu namna hii wewe kila siku ni Kuchagua na Kutengua hukupewa kura kwa ajil hiyo Ndg
 
Hongera wewe Mchungaji, huko tunakofanya ghiliba ndio umekuona kuzuri haya mkuu, kila la heri. Kupanga ni kuchagua.
Mkuu ni haki yako kuwa huko hukatazwi wala sio kosa...
 
Na wakauhoji wimbo wa salome kama una maadili,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…