Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Mnawaponza watoto wa masikini...mnawatumia kwa mambo ya kijinga....mnawasababishia matatizo!sijawah sikia mtoto wa mbowe au vigogo wa chadema wamefanya upuuzi kama aliofanya ney wa mitego!Mungu anawaona!Siku ukujitambua wala hilo povu halitakutoka
Kwako mambo ya kijinga ni yapi?! WaTz wawe huru kuwaonyesha watawala mapungufu yao. Na nikuambie hata siku moja watu hawawezi kufanana mawazo .Mnawaponza watoto wa masikini...mnawatumia kwa mambo ya kijinga....mnawasababishia matatizo!sijawah sikia mtoto wa mbowe au vigogo wa chadema wamefanya upuuzi kama aliofanya ney wa mitego!Mungu anawaona!
Kupoteza Marinda! Nimecheka sana.Ney katumia fasihi tu hajataja jina lolote la kiongozi na hakuna neno la kashfa lolote alilolitaja kwenye wimbo wake, anayetakiwa kukamatwa na kushtakiwa ni yule anayejihisi ameimbiwa yeye. Huwezi kumfunga mtu kwa kutoa mawazo yako kichwani na kutafsiri. Labda kama mahakama itathibitisha pasipo na shaka kuwa kiongozi fulani hapendi kushauriwa, au kiongozi fulani ni kweli amepoteza marinda hivyo kuimbwa ni kumdhalilisha, au Bashite wa kolomije ni jina halali kisheria la kiongozi fulani,
Hajataja jina lolote inamaana bashite sio jina?Ney katumia fasihi tu hajataja jina lolote la kiongozi na hakuna neno la kashfa lolote alilolitaja kwenye wimbo wake, anayetakiwa kukamatwa na kushtakiwa ni yule anayejihisi ameimbiwa yeye. Huwezi kumfunga mtu kwa kutoa mawazo yako kichwani na kutafsiri. Labda kama mahakama itathibitisha pasipo na shaka kuwa kiongozi fulani hapendi kushauriwa, au kiongozi fulani ni kweli amepoteza marinda hivyo kuimbwa ni kumdhalilisha, au Bashite wa kolomije ni jina halali kisheria la kiongozi fulani,
The Nexus Between Formal Work and Application of Stock of KnowledgeResearch
Formal work undertaken systematically to increase the stock of knowledge