johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na hawezi kukubali kuwemoMjadala utakamilika kama Dr John Pombe Magufuli atakuwemo
Sure.Benard Membe ni takataka tu hatuna shida nae upinzani, huyo mrafi wa madaraka hii nchi ameifanyia nn tangu awe madarakani? si bora hata akina Lissu tuliziona juhudi zao za kutetea maslahi ya nchi?
Hapo anatafutwa namba 2 ujue.Mjadala utakamilika kama Dr John Pombe Magufuli atakuwemo
Kwani Lisu ana jipya gani?Sure.
Membe hana jipya.
Tupo pamoja, wasitake kutufanya sisi malofaBenard Membe ni takataka tu hatuna shida nae upinzani, huyo mrafi wa madaraka hii nchi ameifanyia nn tangu awe madarakani? si bora hata akina Lissu tuliziona juhudi zao za kutetea maslahi ya nchi?
Angalau Lisu hajawahi kushika nafasi yoyote Serikalini,so kidogo watu wanaweza kusema wanajaribu waoneKwani Lisu ana jipya gani?
Rais wa Tanzania siyo sawa na rais wa TLS!Angalau Lisu hajawahi kushika nafasi yoyote Serikalini,so kidogo watu wanaweza kusema wanajaribu waone
Kwa sasa tunatafuta aliye bora kwa umoja wetu!Kwahiyo chademo inawagombea wawili
Tundu lissu
Lazaro nyalandu
Mbona atar kwa afya
Angalau Lisu hajawahi kushika nafasi yoyote Serikalini,so kidogo watu wanaweza kusema wanajaribu waone
Benard Membe ni takataka tu hatuna shida nae upinzani, huyo mrafi wa madaraka hii nchi ameifanyia nn tangu awe madarakani? si bora hata akina Lissu tuliziona juhudi zao za kutetea maslahi ya nchi?
Hayo umesema wewe mkuu, wanachadema wenyewe wanajua undani.More than 60% mgombea wa CHADEMA ni Nya
More than 60% Nyallandu ndiyo mgombea wa CHADEMA,sasa sijui mutakuja na hoja gani. Muweke akiba ya maneno.
Hayo umesema wewe mkuu, wanachadema wenyewe wanajua undani.
Hashim Rungwe ataongea nini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais Wangu Mtarajiwa huyu
Anasema atatoa ubwabwa kwenye mashule ili wanafunzi akili zichaji[emoji1][emoji1]
Mjadala utakamilika kama Dr John Pombe Magufuli atakuwemo